Search results

  1. Paul dybala

    Prayers, hardworking and discipline

    Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa kinijalia afya njema...napenda kuwapa moyo vijana wenzangu ya kwamba wasikate tamaa..kikubwa tuendelee kupamba, kumuomba mungu.. Niko kitambaa cheupe mda huu nimepaki boda yangu kiukweli uvumilivu wangu na nidhamu kwa wateja na barabarani vimenifanya...
  2. Paul dybala

    Motto/ Kauli mbiu gani ya taasisi gani huwa inakuvutia?

    Tunakufungulia Dunia kuwa unachotaka
  3. Paul dybala

    Kwa hali hii ungekuwa wewe ndiyo mwenye nyumba ungeuza nyumba yako?

    Kuna mzee mmoja hapa ubungo alitaka kuiuza nyumba yake kwa Bei ya tsh mil 25,wakapangana na madalali wawili ambapo madali watachukua mil 2 tu. Sasa madalali wamempata mteja ambae alivoina nyumba akasema yeye atainunua kwa tsh mil150..madalali wakamuambia mzee sisi hio mil 2 usitupe. Cha msingi...
  4. Paul dybala

    Mongoose aka Nguchiro kiboko ya Koboko!

    Mamelod hawana mashabiki wengi kutuzidi yanga
  5. Paul dybala

    Umeme ulianza kutumika Tanzania mwaka 1908 walishindwa vipi kuboresha mitambo madhubuti miaka yote hiyo?

    Unajua akishakuja prince dube pale yanga,,mi naona itamuongezea molari ya kupambana clement mzize au nyie mnaonaje?
  6. Paul dybala

    Niko polisi imepigwa filimbi ya kushusha bendera watu wote wakasimama! Hii maana yake nini?

    Hapana mkuu yanga kwa Sasa ni timu Bora...mamelod atakaa
  7. Paul dybala

    Hii ni Bei gani?

    [emoji3]job truetrue
  8. Paul dybala

    Hii ni Bei gani?

    Acha hizo
  9. Paul dybala

    Hii ni Bei gani?

    Bhasi faida 20000 nshakuwa mtamu tayri
  10. Paul dybala

    Hii ni Bei gani?

    [emoji3]
  11. Paul dybala

    Hii ni Bei gani?

    Wakuu nimempakia abiria wangu mzungu kutoka wavuvi Hadi mikocheni kwa warioba akanipa hii akaniambia nimrudishie 5000..Sasa hi itakuwa Bei gani je kanipiga?
  12. Paul dybala

    Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

    Yuko sahihi tu mbona Mimi nimeangalia nimeipenda hio video
  13. Paul dybala

    Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

    Kuna watu ni wajinga Sana...daku si kitu Cha lazima kwa muislamu wengine hawali daku..wanafunga tu nakula hio futari bhasi
  14. Paul dybala

    Nikiona mtu mzima anaendesha boda naingiwa na hofu sana

    Ninausoma huu Uzi nikiwa kijiweni nimepack halafu ni pembeni yangu tu Kuna mzee boda aisee [emoji3][emoji3]noma..
  15. Paul dybala

    Chemsa bongo

    Hapa ni wapi Kama kweli we mwana jf unaijua Tanzania vizuri
  16. Paul dybala

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Upuuzi mtupu wachezaji wanafatiki kubwa ..mchezaji Hana stamini ratiba iangaliwe upya...ona wakina kwasi...wakina pacome kidogo chali
  17. Paul dybala

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Hii mechi wananchi tumekaa na sababu kubwa wachezajinwa yanga wanauchovu wa mfululizo wa mechi
  18. Paul dybala

    Mambo ambayo mwanaume wa thamani hatakiwi kuyafanya kamwe

    Utasikia mwanaume usipande gari...utembee kwa miguu
Back
Top Bottom