Recent content by Pantosha

  1. P

    Itungwe sheria inayotoa adhabu dhidi ya wanaomtukana Rais

    Kwa nini rais tu na si watu wote? Utakuwa wa maana ukianza kufikiria kuhusu kila Mtanzania. Vinginevyo wewe ni chawa tu.
  2. P

    ROLE MODEL WANGU WA SIASA ZENYE MANUFAA KWA WANANCHI AFRİKA MASHARIKI.

    Binafsi nafuatilia sana siasi Kwani naelewa mustakabali wa maendeleo yetu kama binadamu unaletwa na siasa safi. Kwa upande wa Afrika Mashariki na kati na kwa kipindi hiki ambacho naelewa kinachoendelea duniani (2005 - 2024). Hii hapa ni list ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi. 1...
  3. P

    Prof. Mukandala: Meli ya MV Bukoba ilifanya kazi Tanzania kwa miaka 17 bila kusajiliwa na haikupaswa kuletwa nchini

    Huu ndiyo uzwazwa wenu watu weusi. Huku akiwapandishia wananchi kodi, yeye anapanga ziara ya anasa na kudanganya kuwa Marekani imegharamikia ziara hiyo. Unatumiaje zaidi ya dollar 1,500,000 kukodi private jet kwenda tu Marekani? Bado hoteli na chakula, gharama za Ulinzi, per diem, nk. Hadi...
  4. P

    Prof. Mukandala: Meli ya MV Bukoba ilifanya kazi Tanzania kwa miaka 17 bila kusajiliwa na haikupaswa kuletwa nchini

    Unajua historia ya ukoloni wewe? Au historia ya uzwazwa wa mwafrika umeanza kipindi cha ukoloni? Si mlibadilisha watumwa kwa nguo? Chumvi? Kioo? nk. Punguzeni makando-kando Mnaumiza watu wengi.
  5. P

    Prof. Mukandala: Meli ya MV Bukoba ilifanya kazi Tanzania kwa miaka 17 bila kusajiliwa na haikupaswa kuletwa nchini

    Mtu mweusi hatenganishwi na makando-Kandi. Mnashida gani lakini?
  6. P

    Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao?

    Itoshe tu kusema kuwa kama pascal alikuja kupima upepo, basi amekutana na kimbunga. Itoshe tu kusema kuwa ikiwa ndugu Pascal alikuja kupima upepo wa suala la muungano, basi amekutana na kimbunga. Ujinga ni kuhisi kuwa wewe unajua sana kuliko wengine. Kwa makala yako hii umejua wajinga ni kina...
  7. P

    Dkt. Kigwangalla: Mbowe hataki kuachia Uenyekiti, alimfukuza Zitto na sasa anamfanyia figisu Lissu. Tumwite Ayatollah Mbowe au Kabaka Mbowe

    Uongozi wa Mbowe ni aibu kwa democrasia. Kiongozi unaposhindwa kuandaa wengine kuchukua nafasi yako na kuona kama wewe pekee ndiye anayefaa, hapo umefeli kama kiongozi. Wajinga wengine watakuja na hoja “kwani katiba yao inasema je? Alafu wanakuja kuomba mabadiriko katiba ya nchi. Aibu!
  8. P

    Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao?

    Kumbe mnamjua? Mimi ndiyo namfahamu kwa hizi makala za sasa. Huyu jamaa anapotosha kwa maandishi yanayoelekea kuwa kweli kwa kujisahaulisha kuwa muungano una kero zake ambazo lazima zitatuliwe ili wananchi waufurahie
  9. P

    Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao?

    Ndugu Pascal kuna kitu hujaelewa kuhusu malalamiko ya wananchi wa pande zote mbili. Kero za muungano ndiyo shida hivyo kuwafanya wahoji muungano wenyewe. Zanzibar inaonekana ilihali Tanganyika imepotea. Zanzibar wana serikali yao na mambo mengine yote wanayo. Hata ikitokea leo Muungano...
  10. P

    Kwanini mpaka sasa RC wa Dar (Chalamila) hajatumbuliwa na kuwekwa ndani?

    Nikafikiri umeamua kuua raia wema kumbe wezi. Hata ingekuwa Mungu anashauriwa kuwaua wote basi tungeshamshauri afanye hivyo.
  11. P

    Video: Ubishani ni Zanzibar ni nchi au siyo? Wenzenu upande wa Zanzibar ni Wazanzibari au Watanzania? Wasira, Rais Samia vs Tundu Lissu: Nani mkweli?

    Nakuelewa ndugu Paschal Ila huu Muungano ni kana kwamba Tanganyika wanaulazimisha. Wazanzibari wako proud kujitambulisha kama wazanzibari. Watanganyika mna lenu jambo kwenye huu Muungano.
  12. P

    Video: Ubishani ni Zanzibar ni nchi au siyo? Wenzenu upande wa Zanzibar ni Wazanzibari au Watanzania? Wasira, Rais Samia vs Tundu Lissu: Nani mkweli?

    Paschal leo umeandika hisia au halisia? Kwa hiyo unamaanisha Mzanzibar ni uraia batili?
  13. P

    Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

    Huwezi kuilinganisha Mauritius na Zanzibar hata siku moja kwa kupata watalii. Data siyo za kweli Ila wanatuzidi. Hata maendeleo wako mbali
Back
Top Bottom