Recent content by Njaa

  1. Njaa

    Gari aina ya IST new model 5.5million tu

    Mtego huo
  2. Njaa

    Wapi soko la hela za Kijerumani (Rupee) - ninazo

    Yes, nipo Dar mkuu! Niunganishe nao
  3. Njaa

    Wapi soko la hela za Kijerumani (Rupee) - ninazo

    Sawa, unahisi nimedownload picha? Nakutumia zenye neno Jamii forum tena kwa wino wa peni muda si mrefu..., DM
  4. Njaa

    Wapi soko la hela za Kijerumani (Rupee) - ninazo

    Wakuu! Nina sarafu za kizamani za watawala mbali mbali...., kabla sijawa nazo niliambiwa ni dili sana. Leo nimezipata (angalia baadhi ya picha), hivi soko lipo wapi? Mwenye idea aje DM tuongee Ujuaji sitaki Karibu Njaa
  5. Njaa

    The Bible, Quran and Science

    I think your intention is to show us that Qur'an is a perfect and complete holly book! It could be true, but there is no need to compare it with other books! So, which one do you trust the most? Qur'an or Science? They go in the opposite direction in so many aspects, in fact, a lot Njaa
  6. Njaa

    Msaada: Facebook account locked

    Wanajamvi naomba msaada: Nahisi kuna mtu alijaribu ku-login kwenye account mara kwa mara kwa kutumia wrong password.....! Matokeo yake facebook waka-lock account yangu. Sasa ili niweze ku-unlock account hii ni lazima nipokee code kupitia simu ambayo niliiweka kwenye account ya facebook, bahati...
  7. Njaa

    Mjue binadamu wa ajabu anaitwa Unju bin Unuk

    Sasa kaburi lake limeanzia Kilwa hadi wapi?;)
  8. Njaa

    Ndoa hizi balaa!

    I like the last reply, it seems the wife don't have even his husband's number :oops:.
  9. Njaa

    Be humble. You will be seen from whatever position you will be seated

    Thanks for the nice fabricated story. However, I won't take your MORAL of the story. I think you did good initiatives to position yourself three times to increase your chances of getting something from the event. But you were so unfortunate (at least at this event). Life is full of try and...
  10. Njaa

    Je unaweza kufa 2016 na kuzikwa 2015?

    Mate! Asante kwa mchango wako japo ume-mix vitu vitatu, (science, fiction, na imani). Nitaisoma tena ili nikuelewe vizuri hasa kwenye kuganda kwa maisha! Sijaelewa kama maisha ndo yanaganda, au ukuaji wa mwili ndo unaganda (kutokuzeeka), au muda ndo unaganda.
  11. Njaa

    Je, wajua matumizi ya "A" na "THE" katika lugha ya kiingereza?

    True! Hii ndo maana ya specific noun. hata kwenye uandishi, kama nomino inaandikwa kwa mara ya kwanza basi hutanguliwa na A, baada ya hapo THE itaendelea kutumiwa. Mfano, nikisema 'Let read the book", hapa msomaji au msikilizaji lazima awe anajua ni kitabu gani kinazungumziwa, kama hawakijui...
  12. Njaa

    Je, wajua matumizi ya "A" na "THE" katika lugha ya kiingereza?

    Matumizi sahihi ya 'a' na 'the' ni kama ifuatavyo:- the = definite article (specific noun) a/an = indefinite article (non-specific noun) For example, if I say, "Let's read the book," I mean a specific book. If I say, "Let's read a book," I mean any book rather than a specific book. "A/an" is...
Back
Top Bottom