Kwamba asilimia 95% ya wenye degree hawajui tofaut ya meter square na meter duh anyway me kitu ambacho huwa kinanitatiza ni inch, futi na maili huwa nasahau kuzicompare na cm na meter
Mpaka kufikia 2022, kuna aina 3,971 za nyoka zinazojulikana na karibu spishi 600 zenye sumu ulimwenguni, na karibu 200 wanaweza kuua mwanadamu. Huu ni muhtasari wa nyoka ambao huhatarisha sana afya ya binadamu, kwa kuumwa na nyoka au majeraha mengine ya kimwili.
Kesi muhimu za kiafya za...
Mimi bwana sometimes naona kama mfumo tuliopo mzuri kiasi fulani kwani mbona watu wanafanya wanakula, na bado wanacheka na bado wanashabikia mpira na bado wanaenda kule Dubai.
Mbona kama mambo yamekuwa mazuri jamani si tukubali tu au unaweza kuhisi labda nina tatizo la stress.. Hapana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.