Acheni ujinga, hizo imani ni tamaduni za wazungu na waarabu. Na hivyo vitabu ni vya hadithi tuu kama za shigongo. Mwache binti aolewe apewe mshedede azae watoto.
Huo ndio msingi wa hizo dini za kishenzi zilizoletwa na wakoloni. Ni mishenzi , wauwaji na mikatili, imetesa sana babu zetu utumwani.
Kama waliweza kuwafanyia ushenzi babu zetu, ni lazima na wewe watakufanyia ushenzi.
Acha ujinga, tumia ubabe ishi nao na wapangie zamu. Uzuri wote imezaa nao, hakikisha watoto wote ni damu yako pia.
Tatizo dini zimewapotosha kuhusu mke mmoja. Wewe unataka watoto wako awalee nani?
Kuwa responsible 100% kwa damu yako. Hao watoto wa mchepuo ndiyo watakufaa baadaye...
Jiwe alikuja na sera ya Tanzania ya viwanda mkamuita dictator na majina mabaya mabaya mengi mpaka mkamuua.
Mwingine akasema hata cherehani nacho ni kiwanda, mkamzomea.
Muda mwingine watanzania wanakuwaga kama madem, hawajui wanachokitaka.
Mjerumani, mjapani, mfaransa, mhindi, mreno wote hao hawajui kuongea vizuri kiingereza.
Ukiona mtu anaongea vibaya lugha, ujue ana lugha yake mama. Sisi kiswahili chetu kinatosheleza kuwasiliana, kwanini tuangaike na lugha zingine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.