Search results

  1. M

    Mzazi wangu amekogoma kupokea posa ya mwanaume wa kiislamu

    Acheni ujinga, hizo imani ni tamaduni za wazungu na waarabu. Na hivyo vitabu ni vya hadithi tuu kama za shigongo. Mwache binti aolewe apewe mshedede azae watoto.
  2. M

    Mwalimu wa Madrasa alawiti watoto 15 Mafia

    Huo ndio msingi wa hizo dini za kishenzi zilizoletwa na wakoloni. Ni mishenzi , wauwaji na mikatili, imetesa sana babu zetu utumwani. Kama waliweza kuwafanyia ushenzi babu zetu, ni lazima na wewe watakufanyia ushenzi.
  3. M

    Naombeni ushauri wa nini cha kufanya

    Acha ujinga, tumia ubabe ishi nao na wapangie zamu. Uzuri wote imezaa nao, hakikisha watoto wote ni damu yako pia. Tatizo dini zimewapotosha kuhusu mke mmoja. Wewe unataka watoto wako awalee nani? Kuwa responsible 100% kwa damu yako. Hao watoto wa mchepuo ndiyo watakufaa baadaye...
  4. M

    Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu

    Kwani kuwa mme au mke wa mtu inaondoa hisia za kumpenda mtu mwingine?
  5. M

    Mwijaku ni mpagani aliyekwenda Hijja!

    Tatizo utumwa unawasumbua. Hamna akili za kuchanganua mambo, mnaiga iga tuu tamaduni za kishenzi eti ni dini. Kwahiyo Mungu aliye umba mbwa alikosea?
  6. M

    Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

    Kigoma mnachokijua ni uchawi na uchawa.
  7. M

    Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

    Tatizo lenu chadema mnawaza madaraka na kuiba. Hata kama nyie ni Wachagga hamtapewa hii nchi maana wizi upo kwenye damu zenu.
  8. M

    Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

    Dictator anakuja 2025. Kaa kwa kutulia
  9. M

    Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

    Hii nchi inahitaji dictator. Si unaona viongozi wako wanaochekacheka wameifanya nchi imekuwa ya kisenge senge.
  10. M

    Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

    Alipaswa kupewa mtu yeyote aliyekuwa mtiifu kwa jiwe. angepewa kakulwa nchi ingeenda vizuri sana.
  11. M

    Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

    Hao jamaa ni manabii. Mabeyo atakuwa anasikitika sana.
  12. M

    Kiongozi wa Serikali ya Tanganyika Soma Hii; kwa Nini Viwanda Vidogo Nchini Pakistan ni Vingi?

    Jiwe alikuja na sera ya Tanzania ya viwanda mkamuita dictator na majina mabaya mabaya mengi mpaka mkamuua. Mwingine akasema hata cherehani nacho ni kiwanda, mkamzomea. Muda mwingine watanzania wanakuwaga kama madem, hawajui wanachokitaka.
  13. M

    Kuna video inasambaa mitandaoni, kiingereza kwa Watanzania wengi ni shida sana!!

    Mjerumani, mjapani, mfaransa, mhindi, mreno wote hao hawajui kuongea vizuri kiingereza. Ukiona mtu anaongea vibaya lugha, ujue ana lugha yake mama. Sisi kiswahili chetu kinatosheleza kuwasiliana, kwanini tuangaike na lugha zingine?
  14. M

    Mwanaume usije thubutu kutembea na mke wa mtu

    Mwanamke yeyote asiye bikira, jua ni mke wa mtu.
  15. M

    Ugali ni mlo hatari kwa Watanzania, ndio ukweli usiosemwa

    Ndo maana wasukuma akili zao ni za kusuasua sababu ya kula ugali.
  16. M

    Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

    Wewe umekuja kuwaokoa singo mama na feminist wa humu. Maana kila siku tunapigizana nao kelele, hawaelewi nini maana ya familia.
  17. M

    Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

    Ukioa mwanamke unakuwa baba yake. Kwa hiyo unatakiwa kufanya majukumu yote kwake mfano wa baba na bintiye. Tatizo la vijana wa siku hizi wanapenda kusaidiwa majukumu. Wewe unaweza mwambia binti yako akukopeshe pesa za matumizi? ukimuomba ujue unakosea na atakudharau sana.
  18. M

    Chadema Wamepata wapi pesa za Kufanya mikutano na maandamano Nchi nzima kuzidi Chama Tawala?

    Hizo pesa za kuzurula na kampeni wangejenga viwanda vidogo vidogo vijana wakapata ajira, hii nchi wangepata mchana kweupe. Tatizo lako wote wana njaa, wanafaidisha matumbo yao. Kwa hicho kidogo wanachokipata, kiwanufaishe wananchi waone kwamba wakiwapa kingi watafanya mengi. Au vyama pinzani...
  19. M

    Bank imeuza dhamana(gari) bila kumpa taarifa mmiliki

    Ndugu wanasheria, rafiki yangu anaomba msaada wa kisheria ili apate haki yake. Alichukua mkopo bank na kuweka gari yake kama dhamana, ila kwa bahati mbaya akachelewesha marejesho mpaka dhamana yake ikakamatwa na madalali. Hiyo gari yake imeuzwa bila yeye kupewa taarifa ya mnada, anakuja...
  20. M

    Dalili za Uchumba sugu

    Kama wamekubaliana na wanaishi pamoja mnachokitaka kingine ni kipi kama siyo utapeli wenu mnaouita kufunga ndoa?
Back
Top Bottom