Recent content by miviga

  1. miviga

    Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

    Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, post inasema huyo dada kapata ajari, anaomba achangiwe matibabu, Hayo ya kutetea yamekujaje? Kunasehemu wametaka pesa ya kununua vilainishi au vipeperushi vya huo mchezo? Wewe ni kilaza wa jf
  2. miviga

    I'm back

    Who the heck are you?
  3. miviga

    CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

    Kuchangia ni kuonesha kuguswa, haimaanishi aliechangiwa hana,
  4. miviga

    CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

    Ni sawa, na hata serikali walitakiwa wampatie gari na waseme ni kibaka nani amehusika na ule udhalimu, kama hayuko hai, kaburi lipigwe bomu,
  5. miviga

    CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

    Uzuri michango ni hiari, pia haimaanishi Lisu hawezi nunua, ni sehemu ya walioguswa. Si kila anaechangiwa hajiwezi.
  6. miviga

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Mimi ndo nitakua napima kama ipo au haipo.
  7. miviga

    DIGITAL MARKETING SPECIAL THREAD;Where Digital Marketers Meet. Assistance, Tips, New Trends, Opportunities, and Clients

    “Internet is everything in physical world but virtually, by knowing this, you will know the vast amount of opportunities in it”, Miviga 19-05-2024
  8. miviga

    Jamani, ashakum si matusi ila sisi Wabongo tuna mapungufu mengi ila kibaya zaidi tuko very very slow almost kwenye kila kitu

    Tafuta arts nyingine hakuna arts umefanya hapo, unachofanya ni muendelezo wa ujinga
  9. miviga

    Ikitokea umefukuzwa kazi sasa, una mbinu mbadala ya kujiingizia kipato?

    Nafukuzwaje kazi ikiwa sijaajiriwa na mtu?
  10. miviga

    Naomba msaada tafadhali

    Sina ushauri ila nakupa taarifa kua mkeo atagawa nje muda si mrefu kama bado hajagawa, Waweza rudisha maelewano ila the trust is gone. “ kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe..”
  11. miviga

    Naomba msaada tafadhali

    Sina ushauri ila nakupa taarifa kua mkeo atagawa nje muda si mrefu kama bado hajagawa, Waweza rudisha maelewano ila the trust is gone. “ kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe..”
  12. miviga

    Serikali imvue uraia Maria Sarungi arudi zao Hungary

    Kama huna nguo nenda karume, Avuliwe abaki uchi? Utavaa wewe?
  13. miviga

    Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

    Sema pesa ya matumizi usigeneralize mahitaji, hata sex ni mahitaji
Back
Top Bottom