Jamani, ashakum si matusi ila sisi Wabongo tuna mapungufu mengi ila kibaya zaidi tuko very very slow almost kwenye kila kitu

Green light ikiwaka haupaswi kukimbia kupitia au kuvukw kuna kitu kinaitwa defensive driving, wakati kwako ni green light Kwa mwenzake ni red, kuna baadhi ya dereva ambao wao huwa wanakimbizana na taa, yaani anakimbia ili taa nyekundu imuwakia ameshapita stop line. Sasa ukiwa na wewe ni Mzee WA maharaka ikiwaka green unaingia Kati it's obvious unakutana na Huyo anayetaka kuibit red light.
So yakupaswa walau uache sekunde kadhaa ndo upite.
Kuna watu vimbelembele wanapenda Sana kupiga honi, yaani kabla ata green light haijawaka vizuri tayari anapiga honi ziso namsingi. Hao mm huwa nawapuuza.
Kuhusu Hilo la kutembea slow, huenda pia kunavitu watu wanatafakari wakiwa wanatembea. Japani wametunga sheria ya kuzuia mazungumzo wakati WA asubuhi ukiwa Barabarani au vituko vya public na ni sheria Kali ili kuwafanya watu wawahi makazini, nahisi hiyo sheria ndiyo inawafanya wawe hivyo.
Umeambiwa mlikuwa mnasubir taa ziwake na zimewaka, trafiki yuko pembeni karuhusu na yeye kwa mkono, wewe umezubaa na wewe pia ndio haohao, kwa hiyo mpaka trafiki kumkemea jamaa unafikiri alikuwa mjinga. Yes defensive driving sio kuendesha taratibu tu kama hujui, unaweza kuendesha taratibu na pia husiwe defensive. Kwa hiyo tusikalili. Bottom line tuache kuwa slow unnecessarily maisha yako mbiombio.
 
Mimi mtanisamehe jamami, ngoja niseme tu najua mtanishambulia potelea mbali

Leo kwenye junction, taa za green ziliwaka kuturuhusu, nyuma kuna magari zaidi ya 30, jamaa mbele yetu katangulia , bara bara iko bussy ila dereva huyo wa gari la mbele akawa anaenda very very slow kama vile yuko peke yake barabara nzima, anaendesha very very slow yaani mpaka trafiki akamkimbilia na kumkalipia "wewe vipi endesha ondoa gari hapo". Na ndipo hapohapo nikajiuliza maswali mengi kuhusu wabongo tulivyo very very very slow almost kwenye kila kitu

Kwenye kutembea tuko very very slow, tunatembea goigoi kama wagonjwa, ebu angalia watu wakiwa barabarani au mitaani. Kwenye kula tunakula very very slow, utakuta mtu kula tu anachukua saa moja na nusu, very very slow.

Kwenye kufikiri , tunafikiri very very slow, yaani hapa utafikiri ndipo tulipozikiwa, yaani tuko very very slow, sijui ndio uswahili wetu, yaani kitu kidogo tu kinachukua mwaka kufanya maamuzi, very very slow. Sasa ukija kwenye kuongea na kujenga hoja, yaani very very slow, tena ikiwa kwa lugha ya kiingereza, yaani utakuwa umeua kabisa, kwani jamaa atatoa tafsiri ya kilugha, kwenda kiswahili then kiingereza, wakati masomo yote tumejifunza kwa kiingereza kuanzia sekondari mpaka chuo kikuu

Sasa nisije kuharibu wakati wa kufanya kazi yeyote ile, utamchukia Mbongo, yaani kitu cha nusu saa kitafanywa masaa, very very slow, mikono goigoi, mwili goigoi. Basi chelewa kumaliza lakini product iwe safiiii, yaani hapo ndipo utamkimbia mbongo, anachukua masaaa yote na quality ya product mbaya mbaya kabisa.

Ebu tujifunze kwa wenzetu, veryvery sharp, angalia tembea yao barabarani, wako faster kama wanakimbia,angalia wachina,wajapani, huko kwao , cheki kazini walivyosharp, checki kwenye kuongea na kusolve issues, not only quick but sharp, kwenye uendeshaji barabarani , ni faster, kazikazi mbiombio

Mimi nafikiri uzubafu wetu na uslow wetu umesababishwa na uwezo wetu wa akili kuwa slow as a result kila kitu chetu kinakuwa slow hilo ni wazo langu tu. Na kulitatua tuanza kwa kucharge brains zetu, tuzichachamue kwanza kuanzia kwenye curriculum zetu , masomo kwa vitendo na kuhimiza culture ya kuwa faster na umuhimu wa quality works n.k. Angalizo inawezekana sio wote ila asilimia kubwa tuko hivyo. Je wewe una maoni gani kuhusu uslow wetu.
Uko very slow mkuu. U-slow wako usiwaambukize wenzio.
 
We mwenyewe uko slow, jambo la kueleza aya mbili unaanza ngonjera "mtanisamehe mtanisamehe" mara " very very" what the f c?
Sawa sawa niko slow ndio maana nikasema watanzania tuko slow, including wewe ambaye hujui busara ya uhandishi, kwani kusema mtanisamehe ina huhusani upi na kuwa slow. Hiyo ni art ya uhandishi ambayo kila mtu anayakwake. Wewe soma hoja ya msingi
 
Mkuu nitaruka hivyo vipengele vya barabarani na blah blah nyingine.

Unapoongelea kwenye kazi je upo field gani na umefanya comparison gani kati ya watanzania na mataifa mengine ambayo upo na experience?
Wewe si ni Mhandisi, ebu wapatie mafundi kazi ndogo tu ya ujenzi au uhashi, halafu uone wanavyofanya kazi kwa muda muhafa, halafu uone quality ya kazi zao. Yaani kwa ujumla tubadilike, ingawa si wote ila asilimia kubwa tuko slow
 
Pole sana mkuu humu barabarani ukiwa na hasira sana utajikuta kila siku unatandika watu makofi, binafsi siku hizi nimekuwa mvivu sana kuendesha kama nina haraka mara nyingi huwa narequest bolt ila kama sina haraka mara moja moja huwa napanda daladala, we are very very slow indeed ila kwenye uzinzi, uchawi, utapeli na ufisadi huwa tuko fast kwa spidi ya mwanga
Umesahau pia tupo fasta pia kwenye kutoa sadaka ya kuvunja madhabahu, na pia ata kwenye huo uzinzi huwa tunakojoa fasta.
 
Hii mada ipo rellevant kabisa kabisa ukitaka kuamini nenda kigamboni wakati watu wanapanda na kushuka kwenye pantoni...ni ugoi goi wa hali ya juu na wengi sio hata watu wazima ni wanafunzi wa IFM na vyuo vingine hapo mjini na waajiriwa mbali mbali ambao bado wana nguvu.

Njoo Dodoma uone madereva wanavyoendesha gari kwa kuyakongoja ....speed ni 20, 30 au 40 ikizidi.

Nenda kwenye migahawa Dar, Dodoma, Mwanza, Mbeya, n.k uone itakavyochukuwa masaa mengi kuhudumiwa.

NO HURRY IN AFRICA.
 
Sawa sawa niko slow ndio maana nikasema watanzania tuko slow, including wewe ambaye hujui busara ya uhandishi, kwani kusema mtanisamehe ina huhusani upi na kuwa slow. Hiyo ni art ya uhandishi ambayo kila mtu anayakwake. Wewe soma hoja ya msingi
Tafuta arts nyingine hakuna arts umefanya hapo, unachofanya ni muendelezo wa ujinga
 
Umeambiwa mlikuwa mnasubir taa ziwake na zimewaka, trafiki yuko pembeni karuhusu na yeye kwa mkono, wewe umezubaa na wewe pia ndio haohao, kwa hiyo mpaka trafiki kumkemea jamaa unafikiri alikuwa mjinga. Yes defensive driving sio kuendesha taratibu tu kama hujui, unaweza kuendesha taratibu na pia husiwe defensive. Kwa hiyo tusikalili. Bottom line tuache kuwa slow unnecessarily maisha yako mbiombio.
Trafiki ni mabingwa wa kusababisha majanga ili wapate ulaji. Refer ajali ya juzi pale Bamaga, siku zote ata kama trafiki anakuelekeza tumia akili yako kuamua, likitokea lakutoea trafiki atakukana Tu no matter what
 
Kwenye kuendesha uslow unachangiwa sana na kuchati na kuongea na simu. WaTanzania siku hizi akishaingia kwenye gari ndiyo atakumbuka kupiga simu na kuchati!! Kunafanya maamuzi barabarani yawe very slow!

Itungwe sheria kali juu ya kuendesha na simu kama ilivyo kwa wenzetu Uingereza!! Ukionekana umeshika simu barabarani umekwisha!!
Hii imenikumbusha, Nikiwa nasafiri mikoa mbalimbali Una kuta mtu kasi mama stendi anasubiri bus akipanda tu kwenye gali anafungua kioo anamwita machinga ampe soda au maji wakati muda wote alikuwa pale stendi ame simama tu.
 
Hii mada ipo rellevant kabisa kabisa ukitaka kuamini nenda kigamboni wakati watu wanapanda na kushuka kwenye pantoni...ni ugoi goi wa hali ya juu na wengi sio hata watu wazima ni wanafunzi wa IFM na vyuo vingine hapo mjini na waajiriwa mbali mbali ambao bado wana nguvu.

Njoo Dodoma uone madereva wanavyoendesha gari kwa kuyakongoja ....speed ni 20, 30 au 40 ikizidi.

Nenda kwenye migahawa Dar, Dodoma, Mwanza, Mbeya, n.k uone itakavyochukuwa masaa mengi kuhudumiwa.

NO HURRY IN AFRICA.
Yaani umetoa mfano mzuri kabisa, hapo ferry nilikuwa naenda Zanzibar , mpaka nikwa napigana na abilia. Wako very very slow, nilipofika ZANZIBAR mpaka nawapiga vikombe ili nipite. Hili ni janga la kitaifa ingawa wengi tutapinga
 
Tafuta arts nyingine hakuna arts umefanya hapo, unachofanya ni muendelezo wa ujinga
Hivi humu ndani kuna wengine tuna matatizo ya akili. Huyu jamaa mbona ananiandama with personal attack wakati mimi naongelea maisha ya ujumla ya watu na ishu zetu. Moderators please mnilinde. Hili JUKWAA LIKO WAZI SIO LAZIMA UKUBALIANE NA MTOA HOJA. Weka hoja yako pinzani mezani then wasomaji wataamua. Sioni sababu ya kutukana mtoa hoja. Please be matured
 
Mimi mtanisamehe jamami, ngoja niseme tu najua mtanishambulia potelea mbali

Leo kwenye junction, taa za green ziliwaka kuturuhusu, nyuma kuna magari zaidi ya 30, jamaa mbele yetu katangulia , bara bara iko bussy ila dereva huyo wa gari la mbele akawa anaenda very very slow kama vile yuko peke yake barabara nzima, anaendesha very very slow yaani mpaka trafiki akamkimbilia na kumkalipia "wewe vipi endesha ondoa gari hapo". Na ndipo hapohapo nikajiuliza maswali mengi kuhusu wabongo tulivyo very very very slow almost kwenye kila kitu

Kwenye kutembea tuko very very slow, tunatembea goigoi kama wagonjwa, ebu angalia watu wakiwa barabarani au mitaani. Kwenye kula tunakula very very slow, utakuta mtu kula tu anachukua saa moja na nusu, very very slow.

Kwenye kufikiri , tunafikiri very very slow, yaani hapa utafikiri ndipo tulipozikiwa, yaani tuko very very slow, sijui ndio uswahili wetu, yaani kitu kidogo tu kinachukua mwaka kufanya maamuzi, very very slow. Sasa ukija kwenye kuongea na kujenga hoja, yaani very very slow, tena ikiwa kwa lugha ya kiingereza, yaani utakuwa umeua kabisa, kwani jamaa atatoa tafsiri ya kilugha, kwenda kiswahili then kiingereza, wakati masomo yote tumejifunza kwa kiingereza kuanzia sekondari mpaka chuo kikuu

Sasa nisije kuharibu wakati wa kufanya kazi yeyote ile, utamchukia Mbongo, yaani kitu cha nusu saa kitafanywa masaa, very very slow, mikono goigoi, mwili goigoi. Basi chelewa kumaliza lakini product iwe safiiii, yaani hapo ndipo utamkimbia mbongo, anachukua masaaa yote na quality ya product mbaya mbaya kabisa.

Ebu tujifunze kwa wenzetu, veryvery sharp, angalia tembea yao barabarani, wako faster kama wanakimbia,angalia wachina,wajapani, huko kwao , cheki kazini walivyosharp, checki kwenye kuongea na kusolve issues, not only quick but sharp, kwenye uendeshaji barabarani , ni faster, kazikazi mbiombio

Mimi nafikiri uzubafu wetu na uslow wetu umesababishwa na uwezo wetu wa akili kuwa slow as a result kila kitu chetu kinakuwa slow hilo ni wazo langu tu. Na kulitatua tuanza kwa kucharge brains zetu, tuzichachamue kwanza kuanzia kwenye curriculum zetu , masomo kwa vitendo na kuhimiza culture ya kuwa faster na umuhimu wa quality works n.k. Angalizo inawezekana sio wote ila asilimia kubwa tuko hivyo. Je wewe una maoni gani kuhusu uslow wetu.
Wewe kumbe hujui africa ilivyo wabongo hawapo slow ni wastani.. nenda botswana au kwa wazulu huko au Mozambique then rudi hapa ndio utajua kuna makono kono kabisa..
 
Hivi humu ndani kuna wengine tuna matatizo ya akili. Huyu jamaa mbona ananiandama with personal attack wakati mimi naongelea maisha ya ujumla ya watu na ishu zetu. Moderators please mnilinde. Hili JUKWAA LIKO WAZI SIO LAZIMA UKUBALIANE NA MTOA HOJA. Weka hoja yako pinzani mezani then wasomaji wataamua. Sioni sababu ya kutukana mtoa hoja. Please be matured
Pia si lazima ukubaliane na hoja zangu, kama ulichofanya unaona ni arts, go ahead with it, unalia lia nini? Mtoto wa kiume unomba huruma ya moderator, au ndo iyo arts ulioigundua?
 
Sawasawa mkuu umeshinda
 
Back
Top Bottom