Recent content by Milles Montego

  1. M

    Kuna mwenye wazo la kibiashara la mabaki kama mifupa, ngozi na vichwa vya samaki?

    Habari wa jf Kuna mtu yoyote mwenye idea au kufahamu kuhusu biashara ya mifupa ya samaki, ngozi na mabaki mengine, maana kuna mahali naweza kupata zaidi ya tani 5 kwa siku. Naomba mwenye uzoefu au kujua soko au fursa na kitu cha kufanya kupitia mabaki ya samaki.
  2. M

    Looking for a Husband

    Uko mkoa gani, vigezo vimetimia
  3. M

    Hii inawezekana?

    Kama unaweza kuliacha gari nichek nikupe hela saiv
  4. M

    Huyu member AshaDii yupo wapi?

    Asha Dii alipigwa tukio kuna connection yake, naona amerecover now,
  5. M

    Connection ya kusafirisha magari kwenda nchi jirani

    Nenda mkuki house kwa nyuma ulizia yadi ya Temesa, ukifika ulizia chama cha madereva IT utapewa form na lipid kiasi cha kujiunga na chama, baada ya hapo watakupa muongozo wa makampuni ya clearing na kazi inavyofanyika. Zaidi tafuta dereva mzoefu pale sheli ya changombe oilcom au water front hapa...
  6. M

    Mwenza Kanda ya Ziwa Mwanza

    NIWASHUKURU WOTE MLIO LIKE NA KUCHANGIA CHOCHOTE, MWENZA AMEPATIKANA. MAISHA YANAENDELEA FANYA UNACHOKIAMIN NA KINACHOKUPA FURAHA MAISHA NI MAFUPI HUJAJA KUTESEKA DUNIANI
  7. M

    Mwenza Kanda ya Ziwa Mwanza

    Kabisa black n white, kuamka na kuitana baby halaf mambo hayaend ni kupoteza muda
  8. M

    Mwenza Kanda ya Ziwa Mwanza

    Hata akiuziwa siwez zuia, washalipana, mi naangalia furaha yangu
  9. M

    Mwenza Kanda ya Ziwa Mwanza

    Nahitaj mwanamke yeyote umri sichagui lakin usiwe mnene, kwa ajili ya kuridhishana kimapenz tuu, tutasaidiana panapowezekana. Sihitaj mahusiano ni pale tunapohitajiana tuwasiliane tofaut na hapo tusiwasiliane. Pm iko waz
  10. M

    Picha: Ulikuwa Wapi Enzi za Shujaa Huyu?

    Yuko arusha anafanya biashara ya nguo na boutique, nikupe namba zake
  11. M

    Picha: Ulikuwa Wapi Enzi za Shujaa Huyu?

    Classmate wangu, mwamba apewe maua yake
  12. M

    Nakodisha Ambulance kwa miradi mbali mbali au hospital binafsi

    Habari ya muda huu, Nakodisha ambulance kwa miradi mbali mbali au hospital binafsi, pia nafanya usafirishaji wa miili ya marehemu toka sehem moja kwenda nyingine. Napatikana Dar es Salaam Kwa maelezo zaidi piga 0623900700
  13. M

    Site visit reprentative is needed Kigamboni DSM

    KWA MASIKITIKO MAKUBWA NA SIJUI NIITE USWAHILI AU UJINGA AU KUKOSA UKOMAVU WA AKILI. HAWA JAMAA HAWAKO SERIOUS NA NI WASWAHILI KWA MAANA WABABAISHAJI HAWAJANYOOKA, UNAPOFANYA MAKUBALIANO NA MTU MAKE SURE UNATIMIZA AU KUTOA POSITIVE FEEDBACK. KIUFUPI HUWA NAFANYA KAZI KWA UMAKINI MKUBWA NA...
  14. M

    Retail Shop Manager is needed

    Application mode please
Back
Top Bottom