Huyu member AshaDii yupo wapi?

Huyu member ana mchango mkubwa sana kwenye baadhi ya majukwaa hapa JamiiForums.

Kule jukwaa la chini na hapa MMU kuna nyuzi nyingi tu alizoshiriki na si tu kushiriki bali michango yake imekuwa msaada mkubwa sana kwa wasomaji wa masuala ya mahusiano na mapenzi.

Kila nikifungua jukwaa la MMU naona jina lake kwenye restricted thread.

Pia si vibaya kumfahamu kwa uhalisi wake japo nimekuwa nikihisi huenda ni mmoja wa mods au ni ex-moderator, au labda ameamua kubadili ID, japo sijaona member wa sasa anayetoa points za maana kama yeye ikiwa alibadili username.

Cc: Invisible, Paw, Moderator.
Asha Abinala Daudi
 
Nasikia telesis kwamba bwana ake ametoka nje ya mahusiano yani amechit na rafk wa karb na asha dii zama twitter ujioneee
 
Back
Top Bottom