Recent content by Michewen

  1. M

    Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

    Mo yeye hakupambana kutafuta zake?
  2. M

    Maslahi ya wafanyakazi wa Millard Ayo yapoje?

    Usikute alikua Hana rinda
  3. M

    Maslahi ya wafanyakazi wa Millard Ayo yapoje?

    Dada tafuta habari kabla hujaanza mipasho.
  4. M

    Maslahi ya wafanyakazi wa Millard Ayo yapoje?

    Tuseme hata Kapteni wa Game alikua anaunga-unga? Nimeshangaa Jo alishindwa kwenda kumzika kisa alikua nje ya nchi. Alishindwa kupata tiket kuwahi mazishi?
  5. M

    Maslahi ya wafanyakazi wa Millard Ayo yapoje?

    Mjini mipango
  6. M

    Ndege gani Cheap (Dar -Cape Town)?

    Harakati
  7. M

    Badoo ni danguro rasmi la biashara ya umalaya Tanzania.

    Badoo, Tinder na Bumble unakula bila kunawa
  8. M

    Kenya Airways launches direct Juba-Khartoum flights

    Point. Dar port ni lango la Eastern Congo tufanye promo zaidi Kwa ATC na TPA. Pia market ya South Africa (Johannesburg na Capetown) abiria ni wa kuokota. Ifanyike namna Air Tanzania irudishe Ile route.
  9. M

    Tatizo la kuahirisha mambo

    Tatizo sio kuahirisha ila huna hela ya kuajiri mtu wa kuzifanya hizo kazi. Tafuta pesa ndugu
Back
Top Bottom