Huyo mdada wa kazi umemwonea. Huo ni unyanyasaji wa wasichana wa kazi. Kwa nini usingemwita na kumpa elimu kuliko kumfukuza. Halafu navuaje nguo na kuziweka kwenye kifaa cha nguo chafu bila kutoa vilivyoma. Ulaaniwe and ardhi ikumeze. Mkeo anafanya kazi gani? kwa nini asikufulie nguo zako...
Nimejiuliza mengi kuhusiana na hizo fedha zinazorejeshwa serikalini bila kupata jibu la matumizi yake. Je hizi fedha zinatumika kwa shughuli gani au kwa manufaa ya nani? Isije ikawa zinaingia mifukoni mwa wachache wajanja. Kama ndio hivyo sioni haja ya kuzirudisha nchini. Naomba mwenye kujua...
Ndugu wadau wa ufugaji wa kuku wa kienyeji. Nimefurahishwa sana na watu wanavyojishughulisha na ufugaji wa kuku hasa wa kienyeji. Mimi nimenza mradi huu kama miezi mitatu sasa. Nina kuku watano (mitetea) na jogoo mmoja. Umbo la kuku wangu ni dogo. Ninaomba kama kuna mtu mwenye vifaranga/kuku wa...
I wonder, wakati huu sio wakati wa kwenda peku. Utakubali raha ya dakika moja iharibu maisha yako. Stay with one partner ikishindika use condoms. Pole kaka. Umeoa, kama ndio, wife umemwambia? Kwa heri, nilikuwa napita.:bange:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.