SIMBA45
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 573
- 165
Yani mie nikiiona hii mwili unakufa ganzi cha ajabu watu bado wanakomalia tu ccm
mkuu Kuna vijana wamemaliza Chuo juzi na wenyewe wanapost eti hapa kazi wakati kazi hawana na walikuwa wanasoma kwa migomo kwa kukosa boom lakin Leo watu wanaambiwa kusoma ni bure kuanzia chekechea mpaka level ya Chuo ni bure bado hayaelewi. Ila ninaiman watanzania wengi washafanya mamuzi kwa kumpa kura lowasa