Ulidanganywa kirahisi sana, hakuna mwanaume anaacha mkewe wa ndoa ndani ya 5months kwa sababu ya kutopata mtoto.Wewe umekaa naye kipindi gani mpaka alipobeba mimba? Wewe ulikuwa desperate sana na penzi lake ndiomana hata alipokutupa na kwenda kuolewa ulibaki kumsubili.
Kuna uwezekano mkubwa hata...
Nilitegemea unieleze ni namna gani matatizo ya wananchi uyageuze cheap politcs badala yake unabwabwaja tu.
Hitler ndio aliyeligeuza Taifa la German kuwa Super power,wewe umekalia hizo propaganda za Us na washirika wake zilizopelekea kuangusha utawala wa German na kurithi yeye uchumi wa...
https://dsm.go.tz/new/rc-makonda-arejesha-nyumba-zilizopigwa-mnada-na-bank-ikiwemo-ya-mama-mjane
Hata haya kwako ni cheap politics kwakuwa hayapo upande wako.
Matatizo serious ndio yapi hayo yasiyowahusu wananchi au kwakuwa hayakuhusu wewe? Huo ni ubinafsi.Kama wewe huna shida waache wenye shida zao wapate suluhisho.Mimi ni mfaidika wa kampeni za Makonda,nilifanikiwa kupata mirathi ya mzazi wangu niliyoihangaikia for 5 yrs bila mafanikio, lkn Makonda...
Hivi anavyotatua migogoro na kero za wananchi kwako wewe unaona ni maigizo
Kuna siku mtafikiwa tu nyinyi majizi,mbegu aliyopanda JPM kuna siku itamea tu nchi hii.Migogoro na kero za wananchi anazokabiliana nazo, viongozi wengi wameshindwa.
Mlidai hatoiweza Arusha, sasa mmebaki kutusha shuyuma...
Kwanini kila anayepingana na mawazo yako unamuita sukuma gang?watu mnakuwa wapumbavu kuliko upumbavu wenyewe.
Kwa akili yako unafikiri kukabiliana na mafuriko hayo ni hilo bwawa kutokujengwa hapo😀.
Unafikiri bila ukatili angeweza kuyafanikisha yote aliyoyaanzisha?
Fikiria swala la watumishi hewa tumeishi nalo kwa miaka nenda rudi inamaana watangulizi wake hawakulijua.
Kiongozi legelege huzalisha Taifa legelege na hapo ndipo wananchi hubaki wakiogelea kwenye dimbwi la ufukara huku wanasiasa...
Ccm haijawahi kufifia?, una uhakika na ulichokiandika?unafikri waliompitisha Jpm kugombea walikuwa wajinga!
2015 hapakuwa na mgombea wa kuinusulu ccm zaidi ya Jpm,kama sio mfuatiliaji wa mambo haya ya siasa utaendelea kuandika ugolo wako.
Unafikiri kwanini wabunge wa upinzani waliopoteza majimbo...
Nafiri tuanzie hapo kwanza maana huu mradi toka ulivyoanza mpaka hapa ulipofikia, sina hakika kama selikali ipo na kama ipo basi imea.ua kuwapuuza watanzania.
Sasa cha ajabu ni nini bro kwani ukishatawazwa kuwa Rais unageuka kuwa malaika? au hawajawahi kuishi maisha hayo?
Na kwanini hii nongwa iwe kwa maRais wa tanzania tu wakati viongozi wa mataifa ya nje pia huyafanya mambo kama haya?
Nafikiri zote ulizotaja zipo tofauti na anazomaanisha, kwa mfano samaki samaki au element ni yofauti na bilcanas au club maisha jinsi zinavyo operate, hazina dance floor, hazina music special wa ku dance badala yake kuna music .changanyiko hasa wa kusikiliza huku wahudhuliaji karibia wote wakiwa...
Mkuu, Mh Makamba aliomba 11 T kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu chakavu aliyodai ndio chanzo cha kukagika kwa umeme au umesahau?labda unieleweshe wewe ni service ipi unayoizungumzia?
Sasa kama ni miundombinu chakavu, kwanini awamu ya nne yote Taifa hili lilikuwa gizani na isifanyiwe maintainance?
Ni kitu gani kilifanyika mpaka kukomesha mgao awamu ya 5?
Je Makamba alihitaji miaka mingapi kuweza kumaliza kukarabati hiyo miundombinu ili kuondoa tatizo?
Sasa hivi tumeambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.