Search results

  1. Mgalula MzTz

    Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

    Ulidanganywa kirahisi sana, hakuna mwanaume anaacha mkewe wa ndoa ndani ya 5months kwa sababu ya kutopata mtoto.Wewe umekaa naye kipindi gani mpaka alipobeba mimba? Wewe ulikuwa desperate sana na penzi lake ndiomana hata alipokutupa na kwenda kuolewa ulibaki kumsubili. Kuna uwezekano mkubwa hata...
  2. Mgalula MzTz

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Nilitegemea unieleze ni namna gani matatizo ya wananchi uyageuze cheap politcs badala yake unabwabwaja tu. Hitler ndio aliyeligeuza Taifa la German kuwa Super power,wewe umekalia hizo propaganda za Us na washirika wake zilizopelekea kuangusha utawala wa German na kurithi yeye uchumi wa...
  3. Mgalula MzTz

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    https://dsm.go.tz/new/rc-makonda-arejesha-nyumba-zilizopigwa-mnada-na-bank-ikiwemo-ya-mama-mjane Hata haya kwako ni cheap politics kwakuwa hayapo upande wako.
  4. Mgalula MzTz

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Matatizo serious ndio yapi hayo yasiyowahusu wananchi au kwakuwa hayakuhusu wewe? Huo ni ubinafsi.Kama wewe huna shida waache wenye shida zao wapate suluhisho.Mimi ni mfaidika wa kampeni za Makonda,nilifanikiwa kupata mirathi ya mzazi wangu niliyoihangaikia for 5 yrs bila mafanikio, lkn Makonda...
  5. Mgalula MzTz

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Hivi anavyotatua migogoro na kero za wananchi kwako wewe unaona ni maigizo Kuna siku mtafikiwa tu nyinyi majizi,mbegu aliyopanda JPM kuna siku itamea tu nchi hii.Migogoro na kero za wananchi anazokabiliana nazo, viongozi wengi wameshindwa. Mlidai hatoiweza Arusha, sasa mmebaki kutusha shuyuma...
  6. Mgalula MzTz

    Hayati Magufuli kukataa kufanya tathmini ya mazingira bwawa la Nyerere, sasa Rufiji inazama, serikali ifanye tathmini ya mazingira sasa

    Kwanini kila anayepingana na mawazo yako unamuita sukuma gang?watu mnakuwa wapumbavu kuliko upumbavu wenyewe. Kwa akili yako unafikiri kukabiliana na mafuriko hayo ni hilo bwawa kutokujengwa hapo😀.
  7. Mgalula MzTz

    Kifo cha Magufuli, Tanzania ilipata hasara ya karne moja, maumivu yake yatawafikia hata walioshangilia

    Unafikiri bila ukatili angeweza kuyafanikisha yote aliyoyaanzisha? Fikiria swala la watumishi hewa tumeishi nalo kwa miaka nenda rudi inamaana watangulizi wake hawakulijua. Kiongozi legelege huzalisha Taifa legelege na hapo ndipo wananchi hubaki wakiogelea kwenye dimbwi la ufukara huku wanasiasa...
  8. Mgalula MzTz

    Hayati Magufuli kaingia madarakani kakuta Wanaccm wanaogopa Kuvaa Sare mitaani, ameondoka kaacha hadi Mawaziri wanavaa Sare popote!

    Ccm haijawahi kufifia?, una uhakika na ulichokiandika?unafikri waliompitisha Jpm kugombea walikuwa wajinga! 2015 hapakuwa na mgombea wa kuinusulu ccm zaidi ya Jpm,kama sio mfuatiliaji wa mambo haya ya siasa utaendelea kuandika ugolo wako. Unafikiri kwanini wabunge wa upinzani waliopoteza majimbo...
  9. Mgalula MzTz

    Juzi nilikuwa Posta, Mwendokasi mida ya jioni ni kisanga. Serikali hamwoni? Nusura nipate kilema

    Nafiri tuanzie hapo kwanza maana huu mradi toka ulivyoanza mpaka hapa ulipofikia, sina hakika kama selikali ipo na kama ipo basi imea.ua kuwapuuza watanzania.
  10. Mgalula MzTz

    Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

    Sasa cha ajabu ni nini bro kwani ukishatawazwa kuwa Rais unageuka kuwa malaika? au hawajawahi kuishi maisha hayo? Na kwanini hii nongwa iwe kwa maRais wa tanzania tu wakati viongozi wa mataifa ya nje pia huyafanya mambo kama haya?
  11. Mgalula MzTz

    Biashara ya Night Club Dar imekufa?

    Nafikiri zote ulizotaja zipo tofauti na anazomaanisha, kwa mfano samaki samaki au element ni yofauti na bilcanas au club maisha jinsi zinavyo operate, hazina dance floor, hazina music special wa ku dance badala yake kuna music .changanyiko hasa wa kusikiliza huku wahudhuliaji karibia wote wakiwa...
  12. Mgalula MzTz

    Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

    Mkuu, Mh Makamba aliomba 11 T kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu chakavu aliyodai ndio chanzo cha kukagika kwa umeme au umesahau?labda unieleweshe wewe ni service ipi unayoizungumzia?
  13. Mgalula MzTz

    Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

    Sasa kama ni miundombinu chakavu, kwanini awamu ya nne yote Taifa hili lilikuwa gizani na isifanyiwe maintainance? Ni kitu gani kilifanyika mpaka kukomesha mgao awamu ya 5? Je Makamba alihitaji miaka mingapi kuweza kumaliza kukarabati hiyo miundombinu ili kuondoa tatizo? Sasa hivi tumeambiwa...
  14. Mgalula MzTz

    Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa

    Kwahiyo sababu ya mgao haikuwa miundombinu chakavu twna?.
  15. Mgalula MzTz

    Shabiby line tuoneeni huruma abiria....!!!

    Nilisha acha kula vyakula vya kwenye hiyo migahawa muda mrefu sana. Naandaa chakula cha safari toka nyumbani. Nilishaishwa kuku aliyeharibika na ma chips kama ugali pale Moro, huko kwenye ma egg chop ndio usiseme.
  16. Mgalula MzTz

    Nimemuacha baada ya kutaka kumuua paka mwenye mimba!

    Nakuunga mkono, kwanini ajibebeshe madarak bila ya ruksa yako?alipaswa kukueleza kama alikuwa hampendi huyo paka, wewe ndio ungetofuta namna ya kumuondoa na si yeye kumlisha sumu bila kosa, Mwanamke wa namna hiyo ndio hupelekea ndugu na marafiki wakate mguu kwako kimya kimya, kumbe wanafanyiwa...
  17. Mgalula MzTz

    Kichekesho cha karne: Ibada ya kumuingiza Mr. Nice kwenye U Freemason

    Wapo watakaonasa kwenye huo mtego, ujinga na tamaa zimewaponza wengi.
  18. Mgalula MzTz

    Mafunzo ya website kwa bei poa

    Ningependa kujua bei pia kaka.
Back
Top Bottom