Recent content by malembeka18

  1. M

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Katolewa sababu ya ujuaji wakujiangusha nikama alikua anapoteza muda na kocha anaona mechi anaitaka
  2. M

    Mke wangu hampendi mama yangu mzazi

    Hawaishi pamoja tuko tofauti ila ktk eneo moja yaan wilaya moja
  3. M

    Mke wangu hampendi mama yangu mzazi

    Kwaiyo ww kwako mkuu mke akosee sms ije kwako sms yakumkashifu mama Yako mzazi utaacha ni mambo yakike tu
  4. M

    Mke wangu hampendi mama yangu mzazi

    Mama sikai nae tuko mbali mbali mji mmoja
  5. M

    Mke wangu hampendi mama yangu mzazi

    Watoto hawana shaka wote copy yangu kwakila kitu
  6. M

    Mke wangu hampendi mama yangu mzazi

    Sasa mkuu ww mzazi wako akashfiwe labda mfano tu labda mzazi wako aambiwe linasumbua sumbua hili libibi linaroho mbaya nalicheck tu nasura yake pasono linajiskia...unampa mtu huyo nafasi ipi yakumsikiliza
  7. M

    Mke wangu hampendi mama yangu mzazi

    Ntakataje nna watoto nae nawazazi wangu wanawapenda wakuu zao
  8. M

    Mke wangu hampendi mama yangu mzazi

    Uendelee kuchatisha ili atafute sababu zakudanganya
  9. M

    Mke wangu hampendi mama yangu mzazi

    Mkuu siujaandamwa namabalaa muombe mungu..nikama mtoto anaezaliwa ktk utajiri familia Bora mpaka anakua anazeeka maisha safi so huwez mlaumu ambae hajawaha namaisha safi mazur kisa ww hukupita huko
  10. M

    Mke wangu hampendi mama yangu mzazi

    Daaa nibalaa hata hamu ya sex mtu unakuta iankukata kabisa ukikumbuka tabia zamke
  11. M

    Mke wangu hampendi mama yangu mzazi

    Najuaje sisms anakua anamtaja dada yake...mfano aseme hivi...asha huyu mama mkwe anavituko hapo sikataja jina la dada yake
Back
Top Bottom