Sasa mkuu ww mzazi wako akashfiwe labda mfano tu labda mzazi wako aambiwe linasumbua sumbua hili libibi linaroho mbaya nalicheck tu nasura yake pasono linajiskia...unampa mtu huyo nafasi ipi yakumsikiliza
Mkuu siujaandamwa namabalaa muombe mungu..nikama mtoto anaezaliwa ktk utajiri familia Bora mpaka anakua anazeeka maisha safi so huwez mlaumu ambae hajawaha namaisha safi mazur kisa ww hukupita huko
Anakua nikama ameenda kusalimia kwetu analala uko siku mbili au tatu Sasa ktk hizo siku so yanayoendelea hapo ndo anakua anamuhabarisha dada yake anamuhabarisha kwa ubaya na chuki ndo sms anajikuta kaisend kwangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.