Recent content by LIKUD

  1. LIKUD

    Watengeneza 'Meme' huwa wanawaza nini?

    🤣🤣🤣🤣
  2. LIKUD

    Makala: Mfahamu Simba Karatasi wa Umakondeni

    Hiki kisa ni maarufu sana huko mikoa ya kusini
  3. LIKUD

    Utajiri wa kibegi unavyopukutisha vijana mikoa ya Kusini

    Hadithi njoo uongo njoo utamu kolea
  4. LIKUD

    Anayedaiwa kulala na kula Serena kisha kutokomea aachiliwa huru

    Serena Hotel walipie tangazo
  5. LIKUD

    Wanafunzi 194 wapewa mimba kwa Mwezi 1 Wilayani Momba

    Inabidi tukazane tu mabibi na mabwana maana hakuna kingine cha kufanya
  6. LIKUD

    Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

    Asante sana mkuu kwa ushauri wako. Au niende nao Arusha kwenye baridi huko hiyo mwezi wa kumi na mbili?
  7. LIKUD

    Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

    Kienyeji miyeyusho mkuu but kuna mtu kanishauri nitafute mtaalamu wa kienyeji niende nae hospitali
  8. LIKUD

    Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

    Asante sana mkuu Kariakoo mtaa gani kaka? Jina la hospitali?
  9. LIKUD

    Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

    Sijakuelewa mkuu ulitahiriwa hospitali au kienyeji?
  10. LIKUD

    Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

    Asante sana mkuu tayari nime I screen short comment yako
Back
Top Bottom