Nani anawajibika kwa hasara iliyotokea kwa kukosekana kwa Internet?

HOPEfull

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
1,824
2,204
Salam wadau.

Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini, watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo.

Mtu anachojua ni kampuni ya simu tu voda, tigo, airtel nk. Hayo mambo ya mkongo unapita baharini hajui hilo.

Tuache huko tuje kwenye hasara walizopata mashirika na makampuni pamoja na taasisi zingine ikiwemo wafanyabiashara kwa ujumla,sasa nani yuko responsible hapo kwa hii cut off ya mtandao wa internet kwa siku kama mbili na zaidi?

Wajuzi karibuni.
 
Salam wadau.

Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini,watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo.

Mtu anachojua ni kampuni ya simu tu voda,tigo,airtel nk.Hayo mambo ya mkongo unapita baharini hajui hilo.

Tuache huko tuje kwenye hasara walizopata mashirika na makampuni pamoja na taasisi zingine ikiwemo wafanyabiashara kwa ujumla,sasa nani yuko responsible hapo kwa hii cut off ya mtandao wa internet.m kwa siku kama mbili na zaidi?

Wajuzi karibuni.
Wewe bila shaka ni mgeni kwenye nchi hii.
 
Mfano kama mtu alijiunga na kifurushi cha wiki moja na hiyo wiki ikawa inaisha leo ina maana kama atakuwa hajamaliza MB zake hatafidiwa siku za kwisha hicho kifurushi chake kwa hizi siku tatu zilizopita bila kupata internet?
 
Hapa Nape tumbotumbo anatakiwa atupe fidia kutoka mfukoni kwake kwasababu ni mbishi kama shipa akiambiwa tunataka Star link anatupangia kampuni ambazo ana ubia nazo na ubishi wake kama vile ameambiwa ile wizara ni ya baba ake.
 
Waziri mwenye dhamana sasa
Screenshot_2024-05-15-15-22-52-73_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Salam wadau.

Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini,watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo.

Mtu anachojua ni kampuni ya simu tu voda,tigo,airtel nk.Hayo mambo ya mkongo unapita baharini hajui hilo.

Tuache huko tuje kwenye hasara walizopata mashirika na makampuni pamoja na taasisi zingine ikiwemo wafanyabiashara kwa ujumla,sasa nani yuko responsible hapo kwa hii cut off ya mtandao wa internet.m kwa siku kama mbili na zaidi?

Wajuzi karibuni.
Hakuna anayewajibika. Nchini Tanganyika kuwajibika is a clichee.
 
Vodacom wamesema watawafanyia wepesi kidogo ambao walijiunga na huduma ya internet kwa hizo siku na hawakupata huduma katika ubora wake.

Sema hii Tanzania home boy usiwaze sana utaumiza kichwa.Anyway mwenye nchi sijui kama katoka France mpaka sasa
 
Kwa nchi nyingine ambazo viongozi wake wanawajibishwa kutokana na utendaji wao kwa utaratibu wa kidemokrasia, muda huu kiongozi mkuu wa hiyo wizara alitakiwa awe amesalimu amri na kuachilia ngazi mara moja kwa kuwa kasababisha hasara ya mabilioni kwa makampuni, kwa Serikali na hata hasara kwa watu binafsi kiuchumi, kijamii, kisakolojia (hapa watu wengi mno wameathirika).

Na haya yote yametokea ikiwa njia mbadala ilikuwepo na ilikataliwa kwa sababu ya kuendekeza ufisadi.

Ila kwa kuwa ni hapa kwetu hakuna wa kulaumiwa na maisha yanaendelea kama kawaida mpaka siku watu wako watakapo funguliwa kifikra na kiroho watambue nguvu waliyonayo katika kuamua vile nchi inatakiwa kuendeshwa na jinsi mifumo ya kiutawala inatatakiwa kuweka mazingira ya kuwanufaisha wananchi wake.
 
Salam wadau.

Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini, watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo.

Mtu anachojua ni kampuni ya simu tu voda, tigo, airtel nk. Hayo mambo ya mkongo unapita baharini hajui hilo.

Tuache huko tuje kwenye hasara walizopata mashirika na makampuni pamoja na taasisi zingine ikiwemo wafanyabiashara kwa ujumla,sasa nani yuko responsible hapo kwa hii cut off ya mtandao wa internet kwa siku kama mbili na zaidi?

Wajuzi karibuni.
Seacom inabidi wapigwe kesi wao ndio wasambazaji wa nyaya baharini. Na ndio mitandao yote ya simu ni wateja wao
 
Vodacom wamesema watawafanyia wepesi kidogo ambao walijiunga na huduma ya internet kwa hizo siku na hawakupata huduma katika ubora wake.

Sema hii Tanzania home boy usiwaze sana utaumiza kichwa.Anyway mwenye nchi sijui kama katoka France mpaka sasa
We are happy to inform you that Vodacom internet services are restored. Affected customers will be refunded. We apologize for the inconvenience. Thank you.
 
Back
Top Bottom