Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,254
27,546
Pia kuna watu wananishauri eti niwatahiri kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me.

Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne.

Watoto wangu nimechelewa sana kuwatahiri.

Mmoja miaka 9 (std.4) na mwingine miaka 7( std.2). Nilichelewa kuwatahiri kwa sababu walikuwa wanaishi na mama yangu na mimi nilikuwa busy na mambo mengine ya maisha.

Now nataka kuwatahiri. Swali langu kwenu:

Hospitali gani nzuri hapa mjini Dar es Salaam katika kutahiri watoto? Dokta gani mzuri?

Mimi nataka kuwatahiri mwezi wa kumi na mbili wakati wa likizo ila kuna mtu anasema kwamba kwa hapa mjini Daslamu muda mzuri wa kutahiri mtoto ni mwezi wa sita kwa sababu kunakuwa na baridi na kwamba baridi inafanya mtoto apone haraka. Je kuna ukweli katika hilo? Binafsi siwezi kuwatahiri mwezi wa sita kwa sababu ya shule. Huyu wa la nne anakuwa bado yupo shule na nataka kuwatahiri wote kwa pamoja.

Nipeni uzoefu bandugu
 
Hospital miyeyusho nakwambia ukweli ile ganzi huwa inakaa muda kienyeji ndo nzuri truth to be told upate wale wanaojuwa, mi nilitahiriwa miaka 20 iliyopita ila miaka ya hivi karibun nikapata kipande cha uzi kilibaki na si kimoja
 
Pia kuna watu wananishauri eti ni watairi kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me.

Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne.

Watoto wangu nimechelewa sana kuwatahiri.

Mmoja miaka 9 ( std.4) na mwingine miaka 7( std.2)
Nilichelewa kuwatahiri kwa sababu walikuwa wanaishi na mama angu na Mimi nilikuwa busy na mambo mengine ya maisha .

Now nataka kuwatahiri. Swali langu kwenu:

Hospitali gani nzuri hapa mjini Daslamu katika kutahiri watoto? Dokta gani mzuri ?

Mimi nataka kuwatahiri mwezi wa kumi na mbili wakati wa likizo ila kuna mtu anasema kwamba kwa hapa mjini Daslamu muda mzuri wa kutahiri mtoto ni mwezi wa sita kwa sababu kunakuwa na baridi na kwamba baridi inafanya mtoto apone haraka. Je kuna ukweli katika hilo? Binafsi siwezi kuwatahiri mwezi wa sita kwa sababu ya shule. Huyu wa la nne anakuwa bado yupo shule na nataka kuwatahiri wote kwa pamoja.

Nipeni uzoefu bandugu
Nenda Moroco pale Mt. Ukombozi ulizia Dokta Rehani
 
Hospital miyeyusho nakwambia ukweli ile ganzi huwa inakaa muda kienyeji ndo nzuri truth to be told upate wale wanaojuwa, mi nilitahiriwa miaka 20 iliyopita ila miaka ya hivi karibun nikapata kipande cha uzi kilibaki na si kimoja

Sijakuelewa mkuu ulitahiriwa hospitali au kienyeji?
 
Back
Top Bottom