Recent content by LA7

  1. LA7

    CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

    kwahiyo viongozi wa ccm utajiri wameupatia wapi kama si kichwani kwako
  2. LA7

    Ni kiasi gani cha hasara ulisababishiwa na ukaamua tu kumsamehe muhusika

    nimekaa nikawaza kwa jinsi nilivo na wakati mgumu sasahivi huku nikifikiria kuwa shida yangu kwa sasa inaweza tatuliwa tu kwa laki mbili, lakini kuna mtu ameweka mamilioni benk au wamechimbia chini au mara nasikia jinsi watu wanavokula na kuishi kwa kupata kila kitu kwa kodi zetu huku sisi...
  3. LA7

    maisha yanazidi kuwa magumu kwangu

    nikivuka huu mwezi bila kulala kituo cha polisi sijui tokea mwezi wa nne nimekuwa na mabalaa kwenye kazi yangu ya ufundi yaani hata sijui inatokeaje kuna mteja aliniletea tv nch32 ilikuwa ya kubadilisha taa nikamchaji 60 sasa nikafanya kazi yake tu mapema nikampigia simu aje achukue akaniambia...
  4. LA7

    Waziri Mkuu wa Slovakia yupo mahututi baada ya kupigwa risasi nne

    hivi yule wa japani naye iliishia wapi aliyemtungua
  5. LA7

    Ni kifaa gani hiki?

    Kikikufaa njoo tufanye biashara pia bei kinauzwaje?
  6. LA7

    Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

    Sio kwa huyu mchaga kaka, yaana hata ukila mwezi mzima yy hawazi na hata nikimuonyesha dalili kuwa nataka kwenda nje kuchepuka kwake ni poa tu
  7. LA7

    Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

    Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo. Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu nilivyovileta kuwa vimeoza, basi nikasema isiwe kesi kuanzia kesho nitaacha tu pesa sitahemea kitu...
  8. LA7

    Nimeng'atwa na nyoka ndotoni

    Mungu anatenda maajabu siku napanga kuipeleka kwa fundi mwezanga kabla sijaenda on kaijaribu ikakubali mpaka nikashangaa
  9. LA7

    Nimeng'atwa na nyoka ndotoni

    Poleni na majukumu watu wa humu, niende moja kwa moja kwenye mada, Tulikuwa watu zaidi ya watatu, tulikuwa kwenye eneo Kama mbuga hivi ambalo ni nyasi kwa wingi, Sasa ilikuwa ni Kama unachagua pa kukanyaga maana Kila baada ya hatua tatu ni nyoka wakubwa kwa wadogo, Ikatokea nyoka mmoja mkubwa...
  10. LA7

    Kama ningekuwa nakunywa basi leo ningekuwa chakarii

    Habari za humu wandugu, leo hii nimevurugwa sana nisaidieni nipate utulivu, nimeletewa laptop ilizima mwanga nikairekebisha ikawaka tu poa nikaizima na kuifunga, baada ya kumaliza kuifunga naiwasha haiwaki tena ukiwasha inawaka taa tu ya power halafu inazima baada ya sec 5 hata ukitoa betri...
  11. LA7

    Daaah, bodaboda bodaboda...inauma sana

    Kuendesha boda boda ni sawa na kutembea na kitanzi muda wowote deal ✅
  12. LA7

    Niliwaonya hapa hapa kuwa Kawaondoeni Ndugu zenu kwa akina Fally Ipupa na Ferre Gola kwani 'Namba M' hawana Masihara mkanipuuza

    Kawaida kitu ambacho ukifa ni kwamba Kila kitu huna mpaka mke wako unagongewa kwa mambo ya kipuuzi uhai ni one chance
  13. LA7

    Safari yangu ya Mji Mwema ikageuka kuwa ya mateso

    Habari zenu humu ngoja Leo niwape kastory kafupi Nakumbuka nikiwa naishi maisha ya homeless siku hiyo nikiwa pale kigamboni kwenye boti za uvuvi, upande wa chuo cha mwalimu Nyerere memorial Muda wa saa 9 jioni nikachukua baiskel yangu na kuamua kwenda kutembea Mji mwema Nikafika na kuanza...
  14. LA7

    Marafiki zangu 90% wamenizidi umri

    Habari za humu, Mimi tokea nikiwa Mdogo nimejikuta tu nikiwa na marafiki walionizidi umri, ninaposema rafiki namaanisha marafiki wa kweli na ni wajinsia zote. Nakumbuka Kuna kipindi mm nikiwa Bado sijaoa nililetewa kesi ya ndoa mume akiniambia matatizo na mke akiniambia matatizo ya mume...
  15. LA7

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Yaani Kuna watu mwaka huu hawataumaliza sababu ya hii vita
Back
Top Bottom