LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

ISRAEL INAPANGA KUWASAPRIZE HEZBOLLAH AU?

The Israel Defense Force has announced that Northern Command has Completed another Step in its Preparations for a Major War with Hezbollah in Southern Lebanon, as Operational Emergency Storages for a Broad Mobilization of Reservist and Regular Troops has now been Established.
 
Yaani Kuna watu mwaka huu hawataumaliza sababu ya hii vita
 
nadhani alichokifanya Iran kule Iraq baada ya kamanda wake kuuawa na marekani mnakumbuka! Iran hua hana kubwabwaja maneno... wait and see.
Alisema in 48hrs Iran will retaliate offensively by bombing Tel-Aviv nini kimetoka mpaka sasa? Iran hamwangalii Israel maana akimgusa tu ametangaza vita na US na allies wake. Kwahiyo war calculations and speculations sio kama unavyofikiria. Iran anajua kabisa huo ni mtego na ametegwa, IDF lisingeweza kushambulia makazi ya balozi bila kupewa ruhusa na baba ake. Sasa jichanganye
 
Hivi ilitokeaje US akaipenda Israel kiasi hiki?Is it because of merits or Israel earned that cooperation?
Because behind the America's glory there are Jews. Wanasiasa wengi wa marekani wana vinasaba vya uyahudi. Soma historia ya America especially before and after 1WW
 
Update

Ahead of his visit to Damascus, Syria tomorrow, Iranian Foreign Minister Amir Abdollahian met with Ansarallah spokesman and head of the negotiating delegation, Mohammed Abdul Salam, in Muscat, Oman.

Abdollahian stated: "The zi0ni5t regime's terrorist act against the Iranian diplomatic building in Damascus was with the use of US-made aircraft and missiles. In addition to legal and international measures, Tehran will hold the criminal aggressors accountable and punish them."
Wacha nijichekee mie, huyo waziri wa mambo ya nje wa Iran atabaki kubwabwaja na kuendelea kutafuta support ya Urusi na China wakati wenyewe wamenyamaza kimya. Anatamani sana aiadhibu Israel lakini bila support ya Eastern alliance anajua kibao kitamgeuka
 
⚡️BREAKING

It is now confirmed that Iran has told the United States that it can avoid a direct strike on Israel by signing a permanent ceasefire deal in Gaza.

It should also be noted that Israel has given its negotiating team a stronger mandate and has withdrawn its troops from southern Gaza.
 
Alisema in 48hrs Iran will retaliate offensively by bombing Tel-Aviv nini kimetoka mpaka sasa? Iran hamwangalii Israel maana akimgusa tu ametangaza vita na US na allies wake. Kwahiyo war calculations and speculations sio kama unavyofikiria. Iran anajua kabisa huo ni mtego na ametegwa, IDF lisingeweza kushambulia makazi ya balozi bila kupewa ruhusa na baba ake. Sasa jichanganye
Hayo maneno ya 48hrs kwani alisema iran??

Nilitee evidence mahali iran alisema atarespond in 48hrs

Hayo maneno yalitoka kwa Israel na US Iran hajawahi tamka hivyo......
 
Wacha nijichekee mie, huyo waziri wa mambo ya nje wa Iran atabaki kubwabwaja na kuendelea kutafuta support ya Urusi na China wakati wenyewe wamenyamaza kimya. Anatamani sana aiadhibu Israel lakini bila support ya Eastern alliance anajua kibao kitamgeuka
Kipindi alipoiadhibu US bases kule Iraq na Syria alisaidiwa na Russia au China?

Alivyoattack Israel and mossad backed headquarters zaidi ya mara mbili kule Erbil na Kurdstan alisaidiwa na China na Russia?

Wacheni story leteni fact
 
Hivi ilitokeaje US akaipenda Israel kiasi hiki?Is it because of merits or Israel earned that cooperation?
Wala sio anaipenda ni System yao inacontroliwa na hao wazayuni

Mfano mrahisi ni Jimbo la Ukonga kule banana, kivule nk....Huwezi kutenganisha lile jimbo au mitaa mingi ukakosa influence ya Wakurya na jamii nyingi za mkoa wa Mara

Ukiangalia ukonga kuna nguvu kubwa ya Wamara kuliko jamii yoyote ile
 
Alisema in 48hrs Iran will retaliate offensively by bombing Tel-Aviv nini kimetoka mpaka sasa? Iran hamwangalii Israel maana akimgusa tu ametangaza vita na US na allies wake. Kwahiyo war calculations and speculations sio kama unavyofikiria. Iran anajua kabisa huo ni mtego na ametegwa, IDF lisingeweza kushambulia makazi ya balozi bila kupewa ruhusa na baba ake. Sasa jichanganye
Iran ananjia nyingi sana za kumpiga Israel indirectly. Kupita magaidi, Hamas, Electronic Warfare Hauth, Hamas, etc

Anaweza kupenyeza hypersonic missle hadi Yemen kwa wasiojulikana, akalilaunch kutokea huko na kuleta maafa Israel.

Hii ndio maana taifa na jeshi lote la IDF wamepanic
 
️BREAKING

It is now confirmed that Iran has told the United States that it can avoid a direct strike on Israel by signing a permanent ceasefire deal in Gaza.

It should also be noted that Israel has given its negotiating team a stronger mandate and has withdrawn its troops from southern Gaza.
Hata ikitokea hivi still itaonyesha strong influence na mchango wa mwiran kwenye hii issue.....Hii inaonyesha kuwa Middle East haiwez kuwa na hatma nzuri bila kumshirikisha mwajemi
 
️BREAKING

The US is trying hard to prevent Iranian retaliation against Israel, Biden has started to put pressure on Israel to conclude a ceasefire deal as soon as possible, and apparently the US has also asked Oman to mediate with Iran on behalf of the US.

My best geuss is that a complete end to the Gaza war could prevent an Iranian strike on Israel.
 
Iran ananjia nyingi sana za kumpiga Israel indirectly. Kupita magaidi, Hamas, Electronic Warfare Hauth, Hamas, etc

Anaweza kupenyeza hypersonic missle hadi Yemen kwa wasiojulikana, akalilaunch kutokea huko na kuleta maafa Israel.

Hii ndio maana taifa na jeshi lote la IDF wamepanic
Changamoto ambayo ipo ni kuwa walimruhusu Iran akajijenga sana na kuwa na power sasa hivi kumuangusha sio kazi rahisi tena.
 
The US is trying hard to prevent Iranian retaliation against Israel, Biden has started to put pressure on Israel to conclude a ceasefire deal as soon as possible, and apparently the US has also asked Oman to mediate with Iran on behalf of the US.

My best geuss is that a complete end to the Gaza war could prevent an Iranian strike on Israel.

Kwa nini 🇺🇸 wanaogopa sana hii kotu
 
BREAKING

Some local sources in Syria report that Iran has sent new equipment to western Syria.

The 88th division of the Israeli army is also on full alert and is stationed in the north of the Israel bordering Lebanon
 
The US is trying hard to prevent Iranian retaliation against Israel, Biden has started to put pressure on Israel to conclude a ceasefire deal as soon as possible, and apparently the US has also asked Oman to mediate with Iran on behalf of the US.

My best geuss is that a complete end to the Gaza war could prevent an Iranian strike on Israel.

Kwa nini wanaogopa sana hii kotu
Kisasi cha Iran kinajulikana waajemi kwa visasi sio poa....Tayar US anakumbuka what happened in 2020 kipindi bases zake zinapigwa na Muiran na US akaufyata
 
Back
Top Bottom