Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,749
Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo.

Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu nilivyovileta kuwa vimeoza, basi nikasema isiwe kesi kuanzia kesho nitaacha tu pesa sitahemea kitu Tena.

Basi asubuhi nikaacha hela nikamwambia akasage mahindi au akanunue tu unga maana ndani vitu vingine vipo.

Nimerudi mchana sijakuta chakula kuuliza, nikaambiwa hawezi kwenda dukani mtoto ni mdogo, ana miezi mitatu,

Basi nikalala zangu kidogo, baadae nikajisapia zangu, basi baada ya harakati mida ya saa mbili narudi nakuta hela ipo pale pale, nikauliza kwanini, nikaambiwa mtoto.

Basi nikamwambia afanye awezalo mimi nile kwani sijala toka asubuhi, nikamwambia anipe mtoto aende dukani Kama hataki Shari na Mimi.

Basi akachukua hela kishingo upande akaenda, muda mfupi akarejea na mfuko mtupu.

Akaniambia duka limefungwa, nikamwambia mbona ya pale mbele yako wazi, akanijibu hawezi kwenda huko mbali, nikainama uvunguni na kutoa fimbo, nikamtishia kuwa ntamchapa akalete unga.

Nilivyoona mbishi nikamweka moja ya mgongoni, akanifuata na kutaka kukamata fimbo, nikadhibiti nikawa namchapa mapajani na miguuni, akaivunja fimbo, basi ikabidi mikono ichukue majukumu ya fimbo, kwasababu niliona ni mbishi nikamuweka vibao na kumlaza chini nikaanza kumwasha vibao huku na maonyo juu, ni mbishi hatari,

Uzuri kulikuwa na mvua hivyo kelele hazikuwa kitu.

Usioe mwanamke kisa umempa mimba, ndio yaliyonikuta mimi kwa kujifanya ni wa huruma.
 
Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo,

Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu nilivovileta kuwa vimeoza, basi nikasema isiwe kesi kuanzia kesho nitaacha tu pesa sitahemea kitu Tena,

Basi asubuhi nikaacha hela nikamwambia akasage mahindi au akanunue tu unga maana ndani vitu vingine vipo,

Nimerudi mchana sijakuta chakula kuuliza, nikaambiwa hawezi kwenda dukani mtoto ni mdogo, ana miezi mitatu,

Basi nikalala zangu kidogo, baadae nikajisapia zangu, basi baada ya harakati mida ya saambili narudi nakuta hela ipo pale pale, nikauliza kwanini, nikaambiwa mtoto,

Basi nikamwambia afanye awezalo mm nile kwani sijala toka asubuhi, nikamwambia anipe mtoto aende dukani Kama hataki Shari na Mimi,

Basi akachukua hela kishingo upande akaenda, muda mfupi akarejea na mfuko mtupu,

Akaniambia duka limefungwa, nikamwambia mbona ya pale mbele yako wazi, akanijibu hawezi kwenda huko mbali, nikainama uvunguni na kutoa fimbo, nikamtishia kuwa ntamchapa akalete unga,

Nilivoona mbishi nikamweka moja ya mgongoni, akanifuata na kutaka kukamata fimbo, nikadhibiti nikawa namchapa mapajani na miguuni, akaivunja fimbo, basi ikabidi mikono ichukue majukumu ya fimbo, kwasababu niliona ni mbishi nikamuweka vibao na kumlaza chini nikaanza kumwasha vibao huku na maonyo juu, ni mbishi hatari,

Uzuri kulikuwa na mvua hivo kelele hazikuwa kitu,

Usioe mwanamke kisa umempa mimba, ndo yaliyonikuta mm kwa kujifanya ni wahuruma.
Uzuri Tanzania hata ukimpiga mwanamke ukamtoa ngeu hufungwi hushtakiwi hufanywi lolote lile 😁.

Ungekuwa USA ingekuwa another story.

Anyway mfukuze hapo ndani arudi kwao uwe unatoa matumizi tu.

Linda amani ya moyo na afya ya akili
 
Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo,

Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu nilivovileta kuwa vimeoza, basi nikasema isiwe kesi kuanzia kesho nitaacha tu pesa sitahemea kitu Tena,

Basi asubuhi nikaacha hela nikamwambia akasage mahindi au akanunue tu unga maana ndani vitu vingine vipo,

Nimerudi mchana sijakuta chakula kuuliza, nikaambiwa hawezi kwenda dukani mtoto ni mdogo, ana miezi mitatu,

Basi nikalala zangu kidogo, baadae nikajisapia zangu, basi baada ya harakati mida ya saambili narudi nakuta hela ipo pale pale, nikauliza kwanini, nikaambiwa mtoto,

Basi nikamwambia afanye awezalo mm nile kwani sijala toka asubuhi, nikamwambia anipe mtoto aende dukani Kama hataki Shari na Mimi,

Basi akachukua hela kishingo upande akaenda, muda mfupi akarejea na mfuko mtupu,

Akaniambia duka limefungwa, nikamwambia mbona ya pale mbele yako wazi, akanijibu hawezi kwenda huko mbali, nikainama uvunguni na kutoa fimbo, nikamtishia kuwa ntamchapa akalete unga,

Nilivoona mbishi nikamweka moja ya mgongoni, akanifuata na kutaka kukamata fimbo, nikadhibiti nikawa namchapa mapajani na miguuni, akaivunja fimbo, basi ikabidi mikono ichukue majukumu ya fimbo, kwasababu niliona ni mbishi nikamuweka vibao na kumlaza chini nikaanza kumwasha vibao huku na maonyo juu, ni mbishi hatari,

Uzuri kulikuwa na mvua hivo kelele hazikuwa kitu,

Usioe mwanamke kisa umempa mimba, ndo yaliyonikuta mm kwa kujifanya ni wahuruma.
Pole, tatizo huyo ni mother house na akili yake imemtuma kwa sababu unashinda kwenye mishe mishe basi wewe ni malaya una wanawake wengine na ulimuoa kwa sababu ana mimba na kwa sababu ameshazaa anahisi humpendi tena na una wanawake wengine ukiwatia mimba utawaoa tena. Na inaonekana umepunguza kupiga bao hivyo anahisi una mwanamke mwingine. Ulikosea kumpiga kabisa tena kosa kubwa. Ulipaswa ufanye utafiti umuulize shida angefungukua ila wewe unaonekana huna muda wa kuongea naye ni kuomba tu kupiga bao, kuaga kwenda kazini, amri amri tu yaani humpi muda wa kuongea naye, na yeye anajiona ni haki yake wewe umbembeleze. Ili kurekebisha, hakikisha kwanza usimshirikishe mshauri yeyote, wewe cha kwanza rudi nyumbani mpigie magoti umuombe msamaha kwanza. Then kaa muda msome hasa shida yake atakuambia kila kitu na matatizo yako yataisha. Pia chunguza inawezekana kuna mbea kaleta umbea au inawezekana hata simu yako etc. Wanawake wana akili finyu sana tena sana, anaweza kuwa anakuwazia vitu vya ajabu hata kukua kisa tu labda umerudi hujamuita mpenzi etc. Pole naamini ndoa yako itapona
 
Ndoa tamu kaka ingia utafurahi mwenyewe.... Sijalaa kuna kazi naifanya hapa napumzika kidogo niperuzi halafu naendelea. Kulala mpaka SAA 10
Jana Niki enda home, kulikuwa na ka family party.
Sasa nime tumia mda mwingi kupiga story na ndugu, Jamaa na marafiki.

Sibling wangu wa mwisho ndo kani sumbua Sana, maana hatuja onana mda mrefu.
Sasa shida usingizi ume goma😁
 
Pole, tatizo huyo ni mother house na akili yake imemtuma kwa sababu unashinda kwenye mishe mishe basi wewe ni malaya una wanawake wengine na ulimuoa kwa sababu ana mimba na kwa sababu ameshazaa anahisi humpendi tena na una wanawake wengine ukiwatia mimba utawaoa tena. Na inaonekana umepunguza kupiga bao hivyo anahisi una mwanamke mwingine. Ulikosea kumpiga kabisa tena kosa kubwa. Ulipaswa ufanye utafiti umuulize shida angefungukua ila wewe unaonekana huna muda wa kuongea naye ni kuomba tu kupiga bao, kuaga kwenda kazini, amri amri tu yaani humpi muda wa kuongea naye, na yeye anajiona ni haki yake wewe umbembeleze. Ili kurekebisha, hakikisha kwanza usimshirikishe mshauri yeyote, wewe cha kwanza rudi nyumbani mpigie magoti umuombe msamaha kwanza. Then kaa muda msome hasa shida yake atakuambia kila kitu na matatizo yako yataisha. Pia chunguza inawezekana kuna mbea kaleta umbea au inawezekana hata simu yako etc. Wanawake wana akili finyu sana tena sana, anaweza kuwa anakuwazia vitu vya ajabu hata kukua kisa tu labda umerudi hujamuita mpenzi etc. Pole naamini ndoa yako itapona
Huu ni uzi ndani ya uzi .Mrefu kama mwaka huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom