Recent content by Kyenju

  1. Kyenju

    Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

    Mkuu magari ya ulaya ni aina gani ya magari unayapendekeza kwa mazingira ya kibongo.
  2. Kyenju

    Wakatoliki kuweni makini na watoto wenu wanaoenda 'Mafundisho' msimu huu wa likizo

    Kwa hiyo Paul na Petro ndiyo walianzisha kanisa Katoliki?
  3. Kyenju

    Top 10 Favourite Books I've Read in 2023 📚 - Frank M Lwakatare

    Reading is one thing, putting in action is another thing.
  4. Kyenju

    Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

    Afya ni ndugu wa Oilcom, Afya au Afyacom wanahusika na kuzalisha vinywaji baridi.
  5. Kyenju

    Mnaosema kuwa Mo hajaweka bilioni 20 Simba, hizo Bilioni 20 za kitu Gani?

    Ulikuwa na hoja nzuri, ila umeiwasilisha kimaamuma.
  6. Kyenju

    Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

    Nifah, The Bold, Ontario ni mtu mmoja.
  7. Kyenju

    Nimeacha Pombe 31/12/2023

    Hongera! Kama mbwa ameweza kukuzalisha watoto.
  8. Kyenju

    Waafrika tujitafakari haiwezekani watu wote tuwe na mwaka mpya kwa pamoja

    Lazima kuwe na utaratibu fulani wa kuiongoza dunia, kila mtu awezi kuwa na taratibu zake. Lakini hujazuiwa kusherehekea mwaka wako uliozaliwa kama mwaka mpya wako.
  9. Kyenju

    Wanawake wenye mvuto JamiiForums 2023

    Kwenye list yako wengine ni vidume.
  10. Kyenju

    Waumini wa Kanisa Katoliki tugome kwenda kanisani kwa shinikizo la viongozi wetu kumhoji Papa Francis, Vitu anavyoruhusu ni kinyume na Kanisa letu

    Hacha mambo ya kipuuzi ya kumtetea papa, nini maana ya baraka? Inaanzaje kuwabariki mashoga? Dhambi inabarkiwa au inakemewa? Kubariki ni kukubaliana, au kuharalisha kitendo hisika. Biblia imekemea kwa sana mambo ya ushoga. 1 Wakorintho 6 9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa...
  11. Kyenju

    Hamas wameigeuza mitaa ya Gaza kuwa tando la vifo kwa askari wa Israel

    Naona mnaanza kucheza Kibinda Nkoi, mnabinua kakalio kama manyigu pori. Hawa mashujaa wenu wakianza kuchapwa msije mkaenda kulalama, ooh.. Umoja wa mataifa, ooh.. haki za binadamu, mara ooh.. Hamas ni tawi la IDF. Punguani waheed.
Back
Top Bottom