Nahodha ndiyo mtu anayehakikisha kuwa abiria wote wametoka salama. Ilikuwaje yeye karuka kabla ya kuokoa abiria wake. Huyu alitakiwa afukuzwe kazi. Hana sifa ya kuwa nahodha.
Fainali ya Kombe la CRDB itakuwa kati ya timu ya YANGA na AZAM. Uongozi wa TFF ulipendekeza kuwa fainali hiyo uchezwe Mjini Babati lakini kutokana na wingi wa mashabiki/ watazamaji na ukubwa wa uwanja unaokadiriwa kuchukua watazamaji wachache.
Ninaishauri TFF kuwa mchezo huu uhamishwe kwenye...
Ninaomba msaada wa kuelekezwa kutoka kwa yeyote kutoka Jamiiforums. Mimi ni mwanahisa wa Swissport na bahati mbaya nilipoteza cheti changu muda mrefu uliopita na sijapata gawio langu sasa yapata miaka 8.
Nifuate njia gani ili niweze kupata cheti changu na gawio langu kwa miaka hiyo yote...
Ninaomba Wizara ya Kilimo ufanye utafiti ni kwa nini wali unaotokana na mpunga unaozalishwa katika maeneo yanchi yetu ladha yake siyo tamu? Nimenunua mchele ambao ni mzuri kabisa lakini ulipopikwa kwa kweli hauna ladha na siyo mtamu.
Approach ya Makonda haiendani na utawala bora. Hao watumishi wametuhumiwa. Takukuru ifanye kazi yake kwanza wakibainika kuwa wametenda kosa basi taratibu za kuwasimamisha kazi ndo ufuate.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.