Search results

  1. K

    NHC yanunua eneo la Urafiki lenye ekari 50 na majengo yaliyopo kwa Shilingi Bilioni Tatu

    Mbona NHC imepata eneo hilo kwa bei ya kutupa. Mfano ekari 50, majengo yaliyopo, mashine mbalimbali n.k.
  2. K

    Prof: Mukandara: MV Bukoba ilikuwa bomu linalosafiri Ziwani Likisubiria Kulipuka

    Nahodha ndiyo mtu anayehakikisha kuwa abiria wote wametoka salama. Ilikuwaje yeye karuka kabla ya kuokoa abiria wake. Huyu alitakiwa afukuzwe kazi. Hana sifa ya kuwa nahodha.
  3. K

    Ushauri kwa uongozi wa TFF

    Fainali ya Kombe la CRDB itakuwa kati ya timu ya YANGA na AZAM. Uongozi wa TFF ulipendekeza kuwa fainali hiyo uchezwe Mjini Babati lakini kutokana na wingi wa mashabiki/ watazamaji na ukubwa wa uwanja unaokadiriwa kuchukua watazamaji wachache. Ninaishauri TFF kuwa mchezo huu uhamishwe kwenye...
  4. K

    Mtifuano mkali kati ya Wizara ya Afya na vyuo vya afya juu ya kubadili qualifications za kujiunga pharmacy ngazi ya cheti

    Wizara iko sahihi kabisa. Kupata D mbili za chemistry na biology ni kama failure tu.
  5. K

    Suzan Peter Kunambi ateuliwa Katibu Mkuu UWT Taifa

    Kuna tatizo gani na Jokate. Mbona juzi tu ndo kateuliwa?.
  6. K

    Tetesi: CHADEMA kuingiza nchini magari mapya zaidi ya 25 kwa kazi maalumu kuelekea uchaguzi

    Safari hii kuna kazi. Tunataka uchaguzi ulio HURU na wa HAKI.
  7. K

    Msaada: Jinsi ya kupata gawio langu kutoka Swissport

    Ninaomba msaada wa kuelekezwa kutoka kwa yeyote kutoka Jamiiforums. Mimi ni mwanahisa wa Swissport na bahati mbaya nilipoteza cheti changu muda mrefu uliopita na sijapata gawio langu sasa yapata miaka 8. Nifuate njia gani ili niweze kupata cheti changu na gawio langu kwa miaka hiyo yote...
  8. K

    DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

    Sijaamini kama Mhe. Masilingi bado ni Balozi wetu kule Marekani. Anatakiwa sasa arudi nyumbani na aachie wengine.
  9. K

    Kwanini wali unaotokana na mpunga unaolimwa katika maeneo ya nchi yetu hivi sasa siyo hauna ladha na siyo mtamu?

    Ninaomba Wizara ya Kilimo ufanye utafiti ni kwa nini wali unaotokana na mpunga unaozalishwa katika maeneo yanchi yetu ladha yake siyo tamu? Nimenunua mchele ambao ni mzuri kabisa lakini ulipopikwa kwa kweli hauna ladha na siyo mtamu.
  10. K

    Bei ya Usafirishaji wa Bidhaa za nje ya Nchi zapanda

    Wananchi wa kawaida hawajui haya. Bora Serikali ikajipanga isije wananchi katika chaguzi zijazo wakaipigia kura isiyotosha.
  11. K

    CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

    Huu ni Huruma na upendo. Uwe CCM, CHADEMA, ACT-WAZALENDO lazima tupendane. Mimi leo nimechanga shillingi 2,000.
  12. K

    RC Makonda aagiza Takukuru kumkamata DED na Watendaji wake wanaotuhumiwa kwa Ufisadi wa tsh million 19 mara Moja na wasirudi Ofisini!

    Approach ya Makonda haiendani na utawala bora. Hao watumishi wametuhumiwa. Takukuru ifanye kazi yake kwanza wakibainika kuwa wametenda kosa basi taratibu za kuwasimamisha kazi ndo ufuate.
  13. K

    RC Chalamila kumtaja Rais wananchi wanazomea ni dalili ya nini?

    Watu ni maskini wa kutupwa huku mitaani. Kila kitu bei juu. Hawana furaha na kiongozi yeyote.
  14. K

    Baada ya Punda kujaa matundu ya Risasi Wananchi wataka kumnunulia Tundu Lisu " Mwanapunda" wa kuingia naye Yerusalem!

    Mimi niko kijijini na nitachangia Tshs.10,000. Lisssu tunampenda na kumuonea huruma kwa risasi alizopigwa na kwa majaliwa ya Mungu hakufa.
  15. K

    KILICHOWAKUTA WAZAMBIA TUSIPOANGALIA KINAWEZA KUTUKUTA NA WATANZANIA

    Kukopa kumetosha. Ni kweli nchi itawekwa rehani. Naona hata SGR ya Mwanza mpaka Isaka sioni kasi yake.
  16. K

    Tundu Lissu anadai pesa ya matibabu kiasi Gani, na kwanini hajalipwa hadi Leo?

    Anayo haki kwa asilimia 100 kurudishiwa gharama zote za matibabu kwa sababu alikuwa bado ni Mhe. Mbunge wa Singida Mashariki. Wasipomrudishia asonge Mahakamani.
  17. K

    Dodoma: Hatimaye Polisi wamkabidhi Tundu Lissu gari lake alilomiminiwa nalo risasi

    Namshauri Mhe. Lissu kuwa asilitumie gari hilo lipelekwe makumbusho kwenye ofisi kuu ya CHADEMA.
Back
Top Bottom