Serikali ikishindwa kupitisha hii katiba itakuwa imemkosea sana huyu mzee na ata siku akitangulia mbele za haki atabaki na kinyongo sana na serikali ya nchi hii.........Mungu ibariki tanzania,mungu mbariki Warioba
Mnataka kututenga sana kama vile sisi sio Watanzania,siku Lissu akifanikiwa kuitenga Tanganyika na Zanzibar,Lake zone tutaanza kupambana tupate nchi yetu rasmi.......hatuwezi kuendeshwa kubali mambo ya kipumbavu kama haya
Unataka kunambia wanataka kujenga uwanja Dodoma halafu Mwanza wanaisahau kweli?? Hili kwa watu wa Kanda ya ziwa ambao ndio wengi kuliko Kanda yoyote ile hatulikubali kabisa
nani alilalamika kuhusu mambo yenu??? sisi tunajenga nchi kwa kuangalia maslahi mapana ya Taifa letu pendwa la Tanzania lakini nyie mnajiingiza kwenye mikopo mikubwa ambayo isiyokuwa na maana yoyote eti kwaajili ya kupambana na Tanzania!!!! mtakufa kenge nyie
Hii ikifanyika itakaa poa sana,hakuna haja ya running tracks kwenye dunia ya sasa ambayo inakuwa included nafootball pitch.........Ila hii AFCON kutokuipeleka Mwanza nahisi wanataka kututenga sana sisi watu wa Lake zone
MyTake;kuna vile viwanja vya ccm vimejaa nchi nzima,kwanini gavoo...
me pia nipo kwenye hali kama ya kwako mkuu........kuna binti mzuri kiukweli ana miaka 20[ninamzidi kama miaka 5] kwa sasa ila ananipenda sana na yupo radhi afanye chochote ili tu kunifurahisha
ana mambo ya kitoto kidogo kwa mfano hawezi kukushauri jambo lolote la kimaisha zaidi akili yake...
Infact mimi ninamkubali sana Kipara January Makamba.Ni ambaye hana uchawa wa aina yoyote,anajiamini kuliko maelezo na anafanya kazi bila matangazo wala promo yoyote
Kuna voice ilinaswa akimteta Magu,Magu alimwambia amuombe msamaha ila kijana akamchenjia na ata Mama alimuhamisha pale Nishati kwa...
Ila hawa mashoga hawa ***** zao.......
Siku moja nilikuwa napita zangu maeneo ya Kitambaa cheupe-Sinza naelekea kwenye harakati zangu,mara Kuna jamaa mtu wa makamo kidogo akaniita........akaanza kunipa story za maisha kuhusu wanawake hasa jinsi walivyo matapeli kwa wanaume na namna ambavyo...
Nakuongezea; pia Wajaluo (My beautiful tribe)wapo wengi sana Mikoa ya Kanda ya ziwa.........kwa experience yangu ninawafahamu Wajaluo wa Kenya wanaokuja Tz ili wapate unafuu wa maisha
Wengi wao uwa wajuaji na hawatoki nje ya nchi yao kutazama nchi zingine zinasonga mbele,ndio wana imani kuwa nchi yao ni bora kuliko nchi yoyote Africa.......wakati shida waliyo nayo haielezwki kirahisi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.