Search results

  1. Kinjekitile Jr

    Kumbukizi: Mahojiano kati ya Alie kua mkurugenzi wa MCL TIDO Mhando Na Jaji Warioba Kuhusu Katiba Mpya, Muungano

    Serikali ikishindwa kupitisha hii katiba itakuwa imemkosea sana huyu mzee na ata siku akitangulia mbele za haki atabaki na kinyongo sana na serikali ya nchi hii.........Mungu ibariki tanzania,mungu mbariki Warioba
  2. Kinjekitile Jr

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mnataka kututenga sana kama vile sisi sio Watanzania,siku Lissu akifanikiwa kuitenga Tanganyika na Zanzibar,Lake zone tutaanza kupambana tupate nchi yetu rasmi.......hatuwezi kuendeshwa kubali mambo ya kipumbavu kama haya
  3. Kinjekitile Jr

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Unataka kunambia wanataka kujenga uwanja Dodoma halafu Mwanza wanaisahau kweli?? Hili kwa watu wa Kanda ya ziwa ambao ndio wengi kuliko Kanda yoyote ile hatulikubali kabisa
  4. Kinjekitile Jr

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Achana nao hao ni vijana wa UVCCM akili zao zimeganda kama za wakenya tu
  5. Kinjekitile Jr

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    nani alilalamika kuhusu mambo yenu??? sisi tunajenga nchi kwa kuangalia maslahi mapana ya Taifa letu pendwa la Tanzania lakini nyie mnajiingiza kwenye mikopo mikubwa ambayo isiyokuwa na maana yoyote eti kwaajili ya kupambana na Tanzania!!!! mtakufa kenge nyie
  6. Kinjekitile Jr

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hii ikifanyika itakaa poa sana,hakuna haja ya running tracks kwenye dunia ya sasa ambayo inakuwa included nafootball pitch.........Ila hii AFCON kutokuipeleka Mwanza nahisi wanataka kututenga sana sisi watu wa Lake zone MyTake;kuna vile viwanja vya ccm vimejaa nchi nzima,kwanini gavoo...
  7. Kinjekitile Jr

    Ushauri kuhusu mabinti wawili nilio nao kwenye mahusiano

    me pia nipo kwenye hali kama ya kwako mkuu........kuna binti mzuri kiukweli ana miaka 20[ninamzidi kama miaka 5] kwa sasa ila ananipenda sana na yupo radhi afanye chochote ili tu kunifurahisha ana mambo ya kitoto kidogo kwa mfano hawezi kukushauri jambo lolote la kimaisha zaidi akili yake...
  8. Kinjekitile Jr

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Infact mimi ninamkubali sana Kipara January Makamba.Ni ambaye hana uchawa wa aina yoyote,anajiamini kuliko maelezo na anafanya kazi bila matangazo wala promo yoyote Kuna voice ilinaswa akimteta Magu,Magu alimwambia amuombe msamaha ila kijana akamchenjia na ata Mama alimuhamisha pale Nishati kwa...
  9. Kinjekitile Jr

    Hali aliyokuwa nayo Bob Risky baada ya kuhukumiwa

    Ila hawa mashoga hawa ***** zao....... Siku moja nilikuwa napita zangu maeneo ya Kitambaa cheupe-Sinza naelekea kwenye harakati zangu,mara Kuna jamaa mtu wa makamo kidogo akaniita........akaanza kunipa story za maisha kuhusu wanawake hasa jinsi walivyo matapeli kwa wanaume na namna ambavyo...
  10. Kinjekitile Jr

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Kafia wapi,saa ngapi na nini kinaendelea juu yake?...........Mbona habari haijakamila
  11. Kinjekitile Jr

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nakuongezea; pia Wajaluo (My beautiful tribe)wapo wengi sana Mikoa ya Kanda ya ziwa.........kwa experience yangu ninawafahamu Wajaluo wa Kenya wanaokuja Tz ili wapate unafuu wa maisha
  12. Kinjekitile Jr

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wengi wao uwa wajuaji na hawatoki nje ya nchi yao kutazama nchi zingine zinasonga mbele,ndio wana imani kuwa nchi yao ni bora kuliko nchi yoyote Africa.......wakati shida waliyo nayo haielezwki kirahisi
  13. Kinjekitile Jr

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mkurya kutoka Tarime,Mara-Tanzania.........Wakurya na Wakikuyu wana mila na majina yao yanafanana
  14. Kinjekitile Jr

    Yuko wapi Tundu Lissu?

    🖕🖕🖕🖕
  15. Kinjekitile Jr

    Yuko wapi Tundu Lissu?

    Mipango ya kumsimamisha Lissu kama Rais upo wazi na anachukua nchi asubuhi sana ila tu kama uchaguzi utakuwa huru na haki
  16. Kinjekitile Jr

    Yuko wapi Tundu Lissu?

    Wewe kwa unavyo muona Mbowe pamoja na miaka yote aikalie Chadema bado anapaswa kuwa Mkuu wa Makamanda?
  17. Kinjekitile Jr

    Nimenasa sauti ya Katibu Tawala (DAS) Wilaya ya Mbogwe, Ndg. Jacob Rombo akiiba mafuta ya Serikali

    Bangi sio dhambi kuvuta kama inafanya mtu analipigania taifa lake kama Mdude.......Wafuatao ni viongozi waliovuta bangi kweli kweli na bado wakafanya makubwa kwa jamii zao; Barack Obama Nelson Mandela Julius Nyerere Jomo Kenyatta Iddi Amin Muammar Gaddafi John Magufuli (ujanani kwake kapiga...
  18. Kinjekitile Jr

    Yuko wapi Tundu Lissu?

    Mwamba yupo anajifua na kuweka nondo zake Sawa ili akianza noma akinukishe kweli kweli Uchaguzi ujao Mbowe na utapeli wake akae pembeni amuache Kamanda aipatie nchi kinacho staili
  19. Kinjekitile Jr

    Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

    Bob wangwe hajawahi kubadili kamwe ila Kuna kijana anaitwa Dedan Wangwe ni Kiongozi wa CHASO-Dar ndio alibadili dini baada ya kumpata mwanamke wa kizaramo😂😂😂 Na hawana ukoo wowote na Bob ila ni majina tu ndio yanaendana....... Jakaya ashawahi kuropoka kuwa akili za kuambiwa changanya na zako
Back
Top Bottom