Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,894
- 81,077
Mwanamke atabaki kua mwanamke as long matabaka ya mwanamke na mwanaume ni tofaut Yani alietuumba hakuweka usawa, uje wewe mwenye akili za sisimizi uweke usawa, ww unafkiri kwann linatumika Neno akiwezeshwa anaweza maana yake ni mpaka awezeshwe na mwanaume ndio aweze, simple and clear 😅😅😅😅😅😅 na hata upande wa Rais wetu ni same dodo limedodoka likaokotwa sio kwamba alichaguliwa na wananchi, usipende kukuza Mada ambayo haina mantikiKwa sababu tunajifinza Kwa waliowainua wanawake level za Juu.Hata Rais alisema msije kushangaa siku Moja CDF akiwa mwanamke.
Acha kupenga makamasi Kwa njia ya mdomo
Mwalimu wako alipata tabu sana kukufundisha darasaniThanks for confirming that indeed these are stadiums in Africa and have nothing to do with approval 😂😂😂.
Ukinionyesha report ya CAF natoka JF for good😂😂
Bado hawaja pata stima wachaji simu zao hawa ng'ombe wa North? Kuna giza sana na ukimya hapaa...
View attachment 2979296
Aki nimecheka sana jirani anajua kweli ku massage maneno eti system disturbance 🤣🤣🤣Bado hawaja pata stima wachaji simu zao hawa ng'ombe wa North? Kuna giza sana na ukimya hapaa...
View attachment 2979296
Meanwhile Rachel Ruto is kneeling and praying for the floodwaters to recede😎Another Covid type episode…🫢….Mangufuli taught them well..🤣🤣
Sasa mlitaka wafanyaje?Ila Kenya ina watu wa hovyo jamani dah!
Hapo sio Tanzania labda ni reli ya kenya maana sioni electrical installations kwenye hiyo reli? Ours is electric remember?😁It’s called Mangufulism… deny and more deny…🤣🤣🤣
Aki nimecheka sana jirani anajua kweli ku massage maneno eti system disturbance 🤣🤣🤣
Kwa hili nawapa kongole Kundustan
View: https://twitter.com/HabariLeo/status/1786027229815754814?t=ITt3gL1Rwy7bzHTVMnqRqA&s=19
Hakuna jipya apo kaka, Tanzania ni nchi inayolindwa na mizimu mikali sana, hakuna cha kimbunga wala mavi ya kimbunga, unakumbuka kimbunga kilichopita? Zilitoka pepo kutoka North zikakipiga kile kimbunga sijui jobe sijui nn kikapotelea mbali, the same applies to this, so don't worry this is the blessed country ever.Dah! Tuombe uzima asee
halafu unajua ikitukosa sie Hidaya ataenda kugonga wapi?Hakuna jipya apo kaka, Tanzania ni nchi inayolindwa na mizimu mikali sana, hakuna cha kimbunga wala mavi ya kimbunga, unakumbuka kimbunga kilichopita? Zilitoka pepo kutoka North zikakipiga kile kimbunga sijui jobe sijui nn kikapotelea mbali, the same applies to this, so don't worry this is the blessed country ever.
Wewe unashindia mayai visa akili utazitoa wapi?Wewe hunaga akili siku zote.
Unataka kunambia wanataka kujenga uwanja Dodoma halafu Mwanza wanaisahau kweli?? Hili kwa watu wa Kanda ya ziwa ambao ndio wengi kuliko Kanda yoyote ile hatulikubali kabisaKama tungekuwa tuna host wenyewe na sio EA , am sure Mwanza ingechaguliwa
1.Dar ni lazima iwe picked. Commercial capital , More training stadiums( Karume, Boko, Azam Complex)
2. Zanzibar Lazima iwe picked- Hotels, Plus ni United republic , plus more touristic city
3.Arusha vs Mwanza , I think ni Arusha ina hotels plus, International airport, ipo karibu na Moshi , Ngorongoro etc, Mwanza is more of business than touristic city , so Arusha ikashinda
4. Kwenye Dodoma vs Mwanza , nafikiri Issue ni Capital city, inagwa sidhani kama imezidi mwanza kwa hotels, lakini SGR kufika Dodoma pia itaipa nafasi
wazee wa Malalamiko FC mlipewa mradi wa airport mkala hela! Wacheni unafiki!Unataka kunambia wanataka kujenga uwanja Dodoma halafu Mwanza wanaisahau kweli?? Hili kwa watu wa Kanda ya ziwa ambao ndio wengi kuliko Kanda yoyote ile hatulikubali kabisa