Recent content by king David 1

  1. K

    KWELI Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua au matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina unaacha kudondosha

    Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua na matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina haudondoshi Uvumi huo ukweli wake ukoje?
  2. K

    Naomba ushauri: Nafanya biashara lakini sina amani ndani yangu. Natamani kwenda mbali lakini sijui naenda kuanzia wapi

    Nakushauri nenda kituo Cha afya kilicho karibu yako uongee na dactari, ukipata wa magonjwa ya akili itakuwa vyema zaidi japo dactari yeyote atakusaidia
  3. K

    Mbunge Musukuma acha kiherehere cha kutusemea watu wa Kanda ya Ziwa

    Hapa lugha yetu imeathiriwa na dunia,yaani leo hii tuanze kutumia kiswahili kwa Kila Jambo,kumbuka lungha zinazotumika kimataifa lugha kubwa mojawapo ni English,na pamoja na kutumia Kama lugha ya kujifunzia shuleni bado utapata changamoto za hapa na pale unapotafuta fursa huko kwa wenzetu...
  4. K

    Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

    Angalieni msimfitini,kwa wivu ama hisia,Kuna sheria gani kavunja??Kama kavunja sheria boss wake atamchukulia hatua stability,within seconds
  5. K

    Ni kosa kutumia nguvu ulizopewa kuadhibu wenzako

    For sure I appreciate your comments..be blessed
Back
Top Bottom