Walisema magufuri kakopa kwelkweli Tena maeneno hayo yakiongozwa na Mwigulu,na Nape na January,,baada ya wao kukop zaidi wamegeuka kuwa makasuku.Nchi hii ngum
Wadau kama link inavyosema hapo chini. Nini tatizo?
===
Tanzania is delaying key agreements needed to realize a $42 billion liquefied natural gas plant, slowing a project that developers Equinor ASA and Shell Plc warn has limited time to become a reality before demand for fossil fuels begins...
Mbona ni kweli ,,ndo manaa unaona ardhi zinaanza kuporokoma sabab zimekoswa miti na mimie yalushikilia udongo usiporomoke.Matokeo yake mito na mabwawa yatajaa mchanga
Hapana,,kunamama sengerema kalipa deni lots lakini NMB hawajpa hati yake ya Nyumba,je hapo unasemaje kama wakikamtwa watu wa NMB?So tusilaumu watu wanaokopa wanapolalamika kuonewa
Nasema hivi nimefika kituo cha NBS saa 12 nimeondoka na mwendo Kasi ya kuja mbezi saaa 2.30 usiku.Mungu awalaani viongozi wa serikali na CCM Yao kwa kunyanyasa watanzani..Yaani Asubuhi kukaa kituoni unakaa Saa 1.30 jioni unakaa masaa 2.30,,hivyo mtu anapoteza massa 4 hado 6 sbab ya usafiri...
Mungu awalaine viongozi wa UDart na uongozi wa serikali kuanzia ikulu, wizarani ,office ya mkuu wa mkoa na familia zao.Waugue kansa na wafe ikiwatesa kwa sbbau wanatunayanysa sana. Hadi sasa tangia saa 11 wananchi wasiozidi 100 ndo wamepakiwa wakati kityo kinawatunkama elfu 3.
Hali ni mbaya sasa masaa mawili gari inapita nankupakia watu wasiozidi 20 na kuondoka.Bahati mbaya gari Moja inapita kila baada ya dk 30 na kupakia watu 10 au 20 wakusimama nakuondoka.Ni Mateso sana.Vyombo vya habari havimuliki hili Wala vyama vya upinzani vimekalia kuongelea mambo yasiyo ya...
Wananchi elfu tatu wako vituo vya hapa NBC bank mjini kati tangu saa 11, hakuna gari inayopakia bali zote za kwenda Mbezi na Kimara zinapita zimejaa na hazisimami.
Je, kwanini Serikali inakubali kunyanyasa wananchi wake hivi? Waziri wa Tamisemi na Mkurugenzi wa UDart unafurahia nini kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.