Search results

  1. K

    Rais Samia afanikisha kupatikana Kwa TSHS.Trilioni 6 za Nishati ya Kupikia. Rais wa Benki ya AfDB Asema ni Kiongozi wa Mfano

    Hizo pesa soyo zoye za Tanzania Bali ni kwa ajili ya Africa yote
  2. K

    Waliobebwa na Magufuli ccm wakalia kuti kavu, kufurushwa wakati wowote

    Mbona wote walibebwa na magufuri? tajeni nani hakubebwa na jiwe kupitia kapeni yake ya betri zote mpya za kijani kwa maendeleo
  3. K

    Je, kuna Waziri wa Fedha Tanzania amewahi kukopa fedha nyingi kuliko Mwigulu Nchemba?

    Walisema magufuri kakopa kwelkweli Tena maeneno hayo yakiongozwa na Mwigulu,na Nape na January,,baada ya wao kukop zaidi wamegeuka kuwa makasuku.Nchi hii ngum
  4. K

    Serikali yashindwa kusaini mradi wa LNG kwa miezi 9 sasa bila sababu. Je tuendelee kumlaumu Hayati Magufuli?

    Wadau kama link inavyosema hapo chini. Nini tatizo? === Tanzania is delaying key agreements needed to realize a $42 billion liquefied natural gas plant, slowing a project that developers Equinor ASA and Shell Plc warn has limited time to become a reality before demand for fossil fuels begins...
  5. K

    Deforestation Report: Kama alichoandika Kafulila kwenye ukurasa wake wa X kina ukweli basi Watanzania lazima tujirudi kwa haraka

    Mbona ni kweli ,,ndo manaa unaona ardhi zinaanza kuporokoma sabab zimekoswa miti na mimie yalushikilia udongo usiporomoke.Matokeo yake mito na mabwawa yatajaa mchanga
  6. K

    Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwenye ofisi za Makao Makuu Mikocheni, Dar es Salaam

    Hakikishen Lisu anafukuzwa Chamani kwa sbb amekichafua chama changu kwa kuweka siri zetu za Rushwa hadharani
  7. K

    Makonda aanza kukamata wakusanya madeni (auctioneers) wanaotumwa na mabenki

    Hapana,,kunamama sengerema kalipa deni lots lakini NMB hawajpa hati yake ya Nyumba,je hapo unasemaje kama wakikamtwa watu wa NMB?So tusilaumu watu wanaokopa wanapolalamika kuonewa
  8. K

    Serikali inanyanyasa wananchi Dar kupitia mwendokasi

    Nasema hivi nimefika kituo cha NBS saa 12 nimeondoka na mwendo Kasi ya kuja mbezi saaa 2.30 usiku.Mungu awalaani viongozi wa serikali na CCM Yao kwa kunyanyasa watanzani..Yaani Asubuhi kukaa kituoni unakaa Saa 1.30 jioni unakaa masaa 2.30,,hivyo mtu anapoteza massa 4 hado 6 sbab ya usafiri...
  9. K

    Mbunge wa CCM apendekeza Vyuo Vikuu vianze kutoa Nusu Degree kwa Wanafunzi wanaoishia njiani

    Ok,,hoja yake Iko sawa nusu degree ni jina tu lakini muhimu ni idea yake
  10. K

    Serikali inanyanyasa wananchi Dar kupitia mwendokasi

    Mungu awalaine viongozi wa UDart na uongozi wa serikali kuanzia ikulu, wizarani ,office ya mkuu wa mkoa na familia zao.Waugue kansa na wafe ikiwatesa kwa sbbau wanatunayanysa sana. Hadi sasa tangia saa 11 wananchi wasiozidi 100 ndo wamepakiwa wakati kityo kinawatunkama elfu 3.
  11. K

    Mei Mosi: Dkt. Mpango asema Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake

    Wameshindwa kuboresha usafiri wa mwendo Kasi kati ya kivuko hadi kimara na mbezi kwa miaka 4 aliyokaa,, hawezi vitu vingine vikibwa
  12. K

    Serikali inanyanyasa wananchi Dar kupitia mwendokasi

    Hali ni mbaya sasa masaa mawili gari inapita nankupakia watu wasiozidi 20 na kuondoka.Bahati mbaya gari Moja inapita kila baada ya dk 30 na kupakia watu 10 au 20 wakusimama nakuondoka.Ni Mateso sana.Vyombo vya habari havimuliki hili Wala vyama vya upinzani vimekalia kuongelea mambo yasiyo ya...
  13. K

    Serikali inanyanyasa wananchi Dar kupitia mwendokasi

    Wananchi elfu tatu wako vituo vya hapa NBC bank mjini kati tangu saa 11, hakuna gari inayopakia bali zote za kwenda Mbezi na Kimara zinapita zimejaa na hazisimami. Je, kwanini Serikali inakubali kunyanyasa wananchi wake hivi? Waziri wa Tamisemi na Mkurugenzi wa UDart unafurahia nini kuona...
  14. K

    CAST VOTE: Kati ya Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Heche nani anafaa kuiongoza CHADEMA kuelekea 2029?

    Mbowe sababu ni mchaga mwenzetu, na Chadema ni chama cha wachaga,,ndo waazilishi na ni Mali yetu
  15. K

    Happy birthday Innocent Bashungwa, kwanini baadhi ya viongozi hutenguliwa ghafla!

    Unri wake ni mdogo Yuko around 48 to 50
  16. K

    Tetesi: Djuma Shabani kutua msimbazi kama mbadala wa Kapombe

    Lomalisa siyo mzuri kivile,,useme Simba hawajui kusaijili sikuhizi
  17. K

    Tetesi: Ibenge kutua Simba kuchukua nafasi ya Benchika

    Viongozi WA Simba tangia waanze kuwalawiti baadhi ya watu wamekuwa wajinga sana
  18. K

    Hii miradi mikubwa ya NSSF na PSSSF ina tija yoyote kwenye kuchangia Kikokotoo Cha Wastaafu? Kama vipi maghorofa yote auziwe DP World!

    Sittinga allowance ya laki 4 kwa siku kwa watu 20 Kila ofisi unazani zinatika wapi?
  19. K

    Hii miradi mikubwa ya NSSF na PSSSF ina tija yoyote kwenye kuchangia Kikokotoo Cha Wastaafu? Kama vipi maghorofa yote auziwe DP World!

    Mapato wanalipana walioajiriwa posho za vikao vya kupanga kila siku ni kazi Gani ziendelee
Back
Top Bottom