Recent content by kimbomba25

  1. K

    Wanaume wengi humu hawana pesa wala michongo ya kueleweka

    Hili darasa anza kumpa mshua wako na ndugu zako wa kiume kabla ya kuja hapa kubwabwaja.
  2. K

    Wanaume wengi humu hawana pesa wala michongo ya kueleweka

    Baba ako anazo kiasi gani?
  3. K

    Majina ya Walioteuliwa kugombea Uenyekiti wa Kanda za CHADEMA yaanza kuwekwa hadharani

    Nani anayemuomba hela mwenzake hapo? 😁
  4. K

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    Gombea cheo chochote, ukipitishwa nitagharamia sherehe ya kukupongeza.
  5. K

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    Jimboni pako, una jimbo wewe?
  6. K

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    Watamfunza adabu tu.
  7. K

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    Anamwakilisha nani kwenye mkoa anaouongoza?
  8. K

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    Kuna kiongozi mwenzake aliwahi kuwaambia Watanzania kama vipi wahamie Burundi.
  9. K

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    Na hicho ndicho kinamfanya ajione smart zaidi.
  10. K

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    👏👏
  11. K

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    Unawafahamu watu wangapi walioridhika na kikokotoo?
  12. K

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    Huyu ana nukuu chache za vitabu kichwani mwake, akizitamka watu hudhani ni mtu mwenye maarifa. Ni mbu mbu mbu tu.
  13. K

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    Huyu ni mpuuzi mwenye madaraka, apuuzwe! Heri hiyo nafasi yake apewe Mwashambwa, anaweza kuwaza kwa upana kuliko yeye.
  14. K

    Natafuta mtu mwenye asili ya Kihindi kumuajiri au kufanya naye biashara

    Mentallity ya kimasikini sana hii... na usifanikiwe kwenye harakati zako milele.
Back
Top Bottom