Recent content by KENZY

  1. KENZY

    Yupi kati ya hawa alikuwa muigizaji bora kwako?

    rambo
  2. KENZY

    Wadau ninaowakubali hapa JF

    sawa nyumbulilo!
  3. KENZY

    Wadau ninaowakubali hapa JF

    Mbona umeweka list ya mashangazi tupu,sio kwamba upo mawindoni kaka...?😂
  4. KENZY

    Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti?

    mh! mbona wengine hatupewi hii damu ya unyumbu itabidi nikaibadili...😂
  5. KENZY

    Anayedaiwa kulala na kula Serena kisha kutokomea aachiliwa huru

    sasa mbona ulikuwa unanishupalia mmbichwa...??😂
  6. KENZY

    Katika nchi nyingi za Kiarabu, maji ni ghali kuliko mafuta

    sasa bwawa linaweza kuwepo kila mahali..?
  7. KENZY

    Katika nchi nyingi za Kiarabu, maji ni ghali kuliko mafuta

    mh! maji gani sasa mbona madukani maji huwa yapo!
  8. KENZY

    Maigizo Bungeni: Waziri Nape na viongozi wengine wakaribishwa Bungeni na Roboti Eunice

    unaambiwa hilo dubwasha ndio limebeba Ile kompyuta ya kuendeshea mabomu ya nyuklia!,haitoshi hilo dubwasha limekonektiwa ikulu na linalinda ikulu ya Dodoma na kule dar es salaam!
  9. KENZY

    Katika nchi nyingi za Kiarabu, maji ni ghali kuliko mafuta

    huko tungekuwa tunaishi sisi waafrika tungekufa hovyo tupo kwenye maji na tunakosa maji...😅
  10. KENZY

    Je, Simba walikuwa wapi hadi Yanga anafikisha makombe 30?

    walikuwa wanagombania makombe ya mbuzi wakati huo!
  11. KENZY

    Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

    leta habari kamili..
  12. KENZY

    Christina mapromise

    na hata akitokea anaenda kunyonywa mtu damu!
  13. KENZY

    Yupo wapi bingwa wa ulozi?

    kashikwa na kibinti cha miaka 18 kinampa mavitu kachanganyikiwa!,mganga kasahau tungule hirizi zimeshindwa hekaheka za kitoto mahaba!..😂
  14. KENZY

    Christina mapromise

    kuna ng'ombe inaenda kuwa nyumbu!..😅
Back
Top Bottom