Recent content by juma sal

  1. juma sal

    Songombingo ya uke wa fisi

    Kuna mengi yakustajabisha na kushangaza kuhusu wanyama, hasa tabia, hulka, mionekano hata mienendo yao. Kuna ambao wanaguswa na kuwapenda simba kunakutokana na muonekano na tabia za simba, wapo wanauguswa na mamba, tembo, nyati, faru, nyoka, lakini binafsi naguswa mno na fisi madoa (spotted...
  2. juma sal

    Kwanini Kisiwa cha Mafia sio sehemu ya Zanzibar?

    Hili ndio swali ambalo wengi hasa Watanzani huliliza mara kwa mara na ni swali ambalo popote ukijitambulisha kama mwenyeji wa Mafia basi aghalabu kwa mtu aliewahi kukifahamu kisiwa hiki kwa kusikia atakuuliza swali la msisitizo zaidi, Mafia si ya huko Zanzibar? Wengi hawafahamu kua Kisiwa cha...
  3. juma sal

    Ajabu ya kisiwa cha Mafia: Ujue mji usiojulikana uliozama baharini kisiwani Mafia

    Awali ya yote naomba nikuhakikishie ndugu msomaji kua hii sio hadithi ya kusadikika au tuseme ni stori ya kutunga, hii ni habari ya kweli tena ukweli mtupu unayoelezea habari USIOJULIKANA na iliyojificha kwa miaka mingi na kwa watu wengi sana. Kutojulikana kwa jambo kunatokana na tatizo kubwa...
  4. juma sal

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Naomba na Mimi like yako....Nina uhaba
  5. juma sal

    Sababu 10 za CCM kuendelea kuongoza Tanzania

    kwahiyo chadema mshajua hamuwezi kuwaondoa ccm?.....huoni kwa thread hii umewarudisha nyuma na kuwavunja moyo makamanda wengi wanaotaka mabailiko nchi hii?.....wewe ndo unajiita kamanda waukweli?mpambanaji?...unahubiri ushindi wa ccm na kushindwa cdm?..............nimeamini kweli CCM DAIMA
  6. juma sal

    CHADEMA inaimarika na inasonga mbele

    sasa mboni kabla ya uchaguzi mlijiaminisha mtashinda?....mwanakijiji aliwashauri kama mnaamini sheria mbovu, police na tume watawabeba ccm msishiriki!! mboni mlishiriki uchaguzi?
  7. juma sal

    Utawezaje hili?

    Kwa mtaji huo ninakushauri ukubaliane na wazo lake la NO ukienda kula kiapo serikalini sidhani hicho kiapo utaapa kuwa utakuwa tayari kumnunulia kitimoto kumletea aandae ale pale nyumbani kauli yake kuwa haoni feature yuko sahihi kabisa ........kitimoto nini bana!!!! mi nipo tayari:tea:
  8. juma sal

    Utawezaje hili?

    Imagine una mwanamke ambae kwadhati unampenda na ushamueleza kua unampenda (lakini dini ni tofauti yeye mkiristo mimi ni muislam).......HAYUKO TAYARI KUBADILISHA DINI, NAMI SIKO TAYARI KUBADILISHA....... lakini mimi nipo tayari kwenda serikalini kula kiapo cha ndoa.....anashindwa kunikubali kwa...
  9. juma sal

    Kwa nini wanawake wanene ni watamu kimapenzi kuliko wembamba (vimbaumbau)?

    Utafiti wangu bado unaendelea ila nategemea kupata majibu mengine humu JF MALIZA KWANZA UTAFITI KISHA URUDI
  10. juma sal

    Huu ni muda muafaka kwa Watanzania kuingia mtaani ili kuitoa CCM

    naskia harufu ya bang ktk uzii huu
  11. juma sal

    Tafakari ya Mwanakijiji leo...

    Kama anakilenga chama cha democracy and development hiviiiiii...!!!!!!
  12. juma sal

    Tafakari ya Mwanakijiji leo...

    Uongozi ni ushawishi. Uongozi siyo kutegeana, kutegeshana, kunyemeleana na kufukuzana. Na uongozi siyo vitisho au mikwara. Kiongozi anayeishi kwa vitisho ni kiongozi aliyeshindwa hoja. Hili ni kweli kwa vyama vile vile; chama kinachoishi kwa vitisho kimeshindwa hoja. Tafakari
  13. juma sal

    Heri ya mwaka mpya 2013! Nawashukuru, Nawaomba radhi!

    Katika mjadala mzima mtu ambae kama ingekua nje ya jamii forum ningetukana mitusi mizito ili nimalize mihasira yangu ni THE BIG SHOW.....wewe mwanaume gani huna msimamo?.. mwanzo wa thread ulianza kwa kumpongeza na kumsamehe zitto na mpaka signature iliyokua inamkebehi iliifuta...baada ya...
  14. juma sal

    Ninaomba MDAHALO wa kisiasa na Nape Nnauye

    you have low thinking capacity.......jaribu na lema kwanza tuone nani mshindi!!!!
Back
Top Bottom