juma sal
Senior Member
- Dec 18, 2011
- 156
- 88
Imagine una mwanamke ambae kwadhati unampenda na ushamueleza kua unampenda (lakini dini ni tofauti yeye mkiristo mimi ni muislam).......HAYUKO TAYARI KUBADILISHA DINI, NAMI SIKO TAYARI KUBADILISHA....... lakini mimi nipo tayari kwenda serikalini kula kiapo cha ndoa.....anashindwa kunikubali kwa sababu hii na kusema haoni feture katika uhusiano huu.......for sure mimi bado nampenda ile mbaya jamani!!!!!! lakini nashindwa namana ya kumfanya anikubali kikwazo kikiwa dini...hebu nishauri jinsi ya kukiruka kiunzi hiki.