Recent content by herrypeter1

  1. herrypeter1

    Vacancy: Freelancer sales

    Unaonekana una hasira ya kukaa mtaani
  2. herrypeter1

    Vacancy: Freelancer sales

    Asante Mkuu
  3. herrypeter1

    Nauza miti ya mikongo(redwood)

    nauza miti ya mikongo kwa bei ya kontena ya 40f kwa mawasiliano na maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba +255763728441
  4. herrypeter1

    Migodi ya dhahabu kuanza kulipa ushuru

    BAADA YA KUSOMA HII HABARI CHINI NIKAJILIZA NI UCHAGUZI UMEKARIBIA AMA MIGODI YA DHAHABU YA GEITA, BULYANHULU, BUZWAGI NA NORTH MARA KUANZA KULIPA USHURU WA HUDUMA KWA KIWANGO CHA 0.3% YA MAPATO GHAFI KWA HALMASHAURI ZA WILAYA NA MIJI
  5. herrypeter1

    Hii ni kwa ajili yako

    Mhm Jamii Forum kuna mambo, Aya ni majanga zaidi ya gongo la mboto.. Ila muanga anaweza kuwa lara1 .. theboss anaweza kuwa muamuzi DEMBA ukawa shahidi lara1
  6. herrypeter1

    Wanawake wengi wanavutiwa na wanaume wa kikurya

    DEMBA Karibu usukumaNi kwetu......
  7. herrypeter1

    Utambuzi wa madini

    Ni pm nikupe whatsapp number unilushie picha
  8. herrypeter1

    The girl next door, sijui atasema yes

    dalalitz BINTI UMEMPATA TAYARI MBONA JIAMINI TUU KA NAMBA YAKE UNAYO MWOMBE MTOKE OUT UKU UKIMLETEA UTANI KUWA LILE SWALA NATAKA KUKUPA UPDATE NILIPOFIKIA ANZIA APO
  9. herrypeter1

    Tupeane mbinu namna za kuwateka hawa wanaume kwa sie 30 and above

    unanikumbusha ile muvi ya think like a man and act like a lady..... Akuna njia sahihi katika mapenzi kila mtu ana behaviour yake...pray ur game safe
  10. herrypeter1

    Barua ya maombi ya kazi Utumishi

    Kama una muandiko safi si vibaya ila kama mwandiko wako ni shida kwa wengine ni vizuri kutype
  11. herrypeter1

    Wanaume wapole hawana bahati

    Too good to be noticed....EVERYONE LOVE ATTENTION IN THIS WORLD NO MATTER WHO YOUR ARE OR WHICH POSITION ARE YOU..... I LOVE THE GIRLS WHO BROUGHT ATTENTION KWA WATU... ILA INATEGEMEA UNAZUNGUMZIA UPOLE WA NAMNA GANI KUNA WENGINE WAKO SMART NA WAKIMYA ILA WAKIONGEA KILA MTU ANAPAY ATTENTION...
  12. herrypeter1

    Martin Kadinda, Rommy Jones, Petit Man

    I'd co I'd dyu NBC ssh bc sh LLC st iv oh eg unamjua en ic si........
  13. herrypeter1

    Nilivyopata kazi yangu ya kwanza

    Good work sanaa that's life kila mtu ana historia yake
  14. herrypeter1

    Clouds vs Jaydee in Kili Music

    Kuna jambo la kipuuzi ambalo kama mwananchi mzalendo inabidi kulifikiri nikawaza ivi jaydee akipata nafasi ya kwenda kuwakilisha Nchi Clouds hamtatangaza? Acheni wivu wa kurudisha maendeleo nyuma kwa kuruka jina la jaydee katika list.
Back
Top Bottom