dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,338
- 1,872
- Thread starter
- #61
Ila ameiandika kiushawishi flani hiv ili kutuvuta tuimalize na hatimae kafanikiwa!
Ndugu huwa nasema kila siku Kuna 'Kusoma' na Kuna 'kuelewa' Hivi ni Vitu viwili tofauti kabisa ingawa vinarandana.
Unaweza ukasoma kwa sauti kubwa sentesi moja tu hata mara mia,
Na usiielewe maana yake kisha mwenzako mwingine akaisoma sentensi hiyohiyo mara moja lakini yeye akaielewa vyema.
Mbweha wengi wanaoponda ni kuwa hawajaelewa na inaelekea ni wagumu kuelew pia.
Asante kwa kuelewa.