Recent content by Filbert Marco

  1. Filbert Marco

    Mambo ya kuzingatia kwa wanunuaji wa used fridge

    no nahisi hii imetokana na mtikisiko wa usafiri nolio utumia make muda nalibeba lilikuwa poa sana lakini baada ya kulifikisha ndo hayoyakatokea, na safari ilikuwa ndefu sana Kwani ni zaidi ya km170
  2. Filbert Marco

    Mambo ya kuzingatia kwa wanunuaji wa used fridge

    Lakini pia ukiangalia specification ya fridge made in Thailand na compressor ni made in Korea hapo ndo napata shida je ni kwa muundo huo itakuwa sawa kweli naomba msaada kwani napata hofu kuona compressor imetengenezwa kingine wakati specfication zinasema vingine japo nimechanganya maneno...
  3. Filbert Marco

    Mambo ya kuzingatia kwa wanunuaji wa used fridge

    ok, lakini pia hii fridge ni mtumba yaani used ina specfication hizi hapa model SR-21NME net capacity FREE 52Lts, REF 135Lts, Total 187 Lts Weight 52kg (114.66ib) power source AC220V-/50Hz refrigerant HFC -134a, 130g (4.59oz) Rated current 0.9A Defrost Input 120W climatic class of the...
  4. Filbert Marco

    Mambo ya kuzingatia kwa wanunuaji wa used fridge

    Mi nina fridge ya Samsung haitoi barafu lakini nikiweka vyakula au maji vinanganda je hilo nitatizo?
  5. Filbert Marco

    Msaada: Nataka kufungua duka la vitu vya watoto Mbeya

    usife moyo biashara hiyo ipo poa sana
  6. Filbert Marco

    msaada

    Msaada mwanangu anahalisha ana umri wa miezi 7 nimempeleka hospital kapatiwa vipimo vyote lakin hakuonekana na ugonjwa wowote, hivyo naombeni ushauri kwa yeyete mwenye utaalamu au uzooefu na mambo ya afya hasa kwa watoto
  7. Filbert Marco

    News Alert: Msaadawa mawazo

Back
Top Bottom