no nahisi hii imetokana na mtikisiko wa usafiri nolio utumia make muda nalibeba lilikuwa poa sana lakini baada ya kulifikisha ndo hayoyakatokea, na safari ilikuwa ndefu sana Kwani ni zaidi ya km170
Lakini pia ukiangalia specification ya fridge made in Thailand na compressor ni made in Korea hapo ndo napata shida je ni kwa muundo huo itakuwa sawa kweli naomba msaada kwani napata hofu kuona compressor imetengenezwa kingine wakati specfication zinasema vingine japo nimechanganya maneno...
ok, lakini pia hii fridge ni mtumba yaani used ina specfication hizi hapa
model SR-21NME
net capacity FREE 52Lts, REF 135Lts, Total 187 Lts
Weight 52kg (114.66ib)
power source AC220V-/50Hz
refrigerant HFC -134a, 130g (4.59oz)
Rated current 0.9A
Defrost Input 120W
climatic class of the...
Msaada mwanangu anahalisha ana umri wa miezi 7 nimempeleka hospital kapatiwa vipimo vyote lakin hakuonekana na ugonjwa wowote, hivyo naombeni ushauri kwa yeyete mwenye utaalamu au uzooefu na mambo ya afya hasa kwa watoto

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.