Habari wakuu
Kama kuna mtu humu ndani alikuwa shortlisted kwenye position ya Intern Gender and Respectful Care at Jhpiego na kufanya interview jana naomba tufahamiane
Habarini ndugu zangu,
Mimi ni muhitimu wa kozi ya Bachelor of Science in Nursing (Nursing Officer). Nilikuwa naomba kama kuna mwajiri au mtu yoyote mwenye connection ya kazi inayoendana na kozi yangu anisaidie.
Niko tayari kufanya kazi mkoa wowote
Shukrani🙏🏾

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.