Search results

  1. E

    Intern- Gender and Respectful Care Jhpiego

    Habari wakuu Kama kuna mtu humu ndani alikuwa shortlisted kwenye position ya Intern Gender and Respectful Care at Jhpiego na kufanya interview jana naomba tufahamiane
  2. E

    Nina shida na Mtumishi wa THPS (Tanzania Health Promotion Support)

    Ndio maana na mimi natafuta mkuu! Kama kuna mtu anamjua nicconect nae! Dau lipo kubwa kwa ajili yenu kama kuonesha shukurani zangu!
  3. E

    Nina shida na Mtumishi wa THPS (Tanzania Health Promotion Support)

    Naomba ni connect na mtu unayemjua mkuu
  4. E

    Nina shida na Mtumishi wa THPS (Tanzania Health Promotion Support)

    Ni kweli mkono mtupu haulambwi!Nitumie no zako pm mimi nashindwa kukutext inakataa mkuu
  5. E

    Nina shida na Mtumishi wa THPS (Tanzania Health Promotion Support)

    Habarini, Nilikuwa naomba kama kuna mtumishi yoyote wa THPS humu ndani naomba tuwasiliane. Asanteni
  6. E

    Natafuta Ajira, nipo tayari kwa Mkoa wowote

    Habarini ndugu zangu, Mimi ni muhitimu wa kozi ya Bachelor of Science in Nursing (Nursing Officer). Nilikuwa naomba kama kuna mwajiri au mtu yoyote mwenye connection ya kazi inayoendana na kozi yangu anisaidie. Niko tayari kufanya kazi mkoa wowote Shukrani🙏🏾
  7. E

    Mahusiano na mabinti wa siku hizi zinaboa sana

    Daah huu muandiko hapana aisee😂😂
  8. E

    Haaland ni tatizo Man City atachemsha ataondoka

    Umeanza kuangalia mpira lini mkuu baada ya halland kusajiliwa Man City au😂 Pole sana aisee
  9. E

    Natafuta Ajira, nipo tayari kwa Mkoa wowote

    Habarini ndugu zangu, Mimi ni muhitimu wa kozi ya Bachelor of Science in Nursing (Nursing Officer). Nilikuwa naomba kama kuna mwajiri au mtu yoyote mwenye connection ya kazi inayoendana na kozi yangu anisaidie. Niko tayari kufanya kazi mkoa wowote Shukrani🙏🏾
  10. E

    Madhara niliyoyapata baada ya kutumia vumbi la Kongo

    Sijapata kaka unajua dawa yake??
  11. E

    Je, mimba itakuwa imetoka au bado?

    Imetoka hiyo mimba! Dalili zote haziwezi toka kwa siku moja! Uchovu na kulala ndo dalili zinazoondoka mapema
  12. E

    Je, mimba itakuwa imetoka au bado?

    Yah mimba ya mwezi mmoja ni ndogo sana kaka! Mwanamke kutokwa na damu nyingi na kwa siku nyingi sio ndo kwamba mimba imetoka ila ni ishara kwamba haijatoka yote! Hiyo mimba imetoka kaka muulize kama kama bado anahisi dalili zozote za mimba!
  13. E

    Madhara niliyoyapata baada ya kutumia vumbi la Kongo

    Una uwakika kaka?? Kuna mtu kapatwa na tatizo kama hili??
  14. E

    Madhara niliyoyapata baada ya kutumia vumbi la Kongo

    Hello members Mimi ni kijana wa miaka 24. Week iliyopita Jumatano nilitumia vumbi la kongo ila cha ajabu kwenye show uume ulisimama legevu sana! Yani ulikuwa unasimama halafu nikitaka kuingiza unalala Hali kama hii sikuwa nayo before kabisa. Yani sahivi hata nikiamka asubuhi uume hausimami...
Back
Top Bottom