Msikurupuke katika kujibu bila hoja za msingi nyinyi,kwa tatzo la mishahara ya watumishi hususani hao walimu iliboreshwa na SUMAYE akiwa na MKAPA ikumbukwe kuwa Mh.Mwinyi aliacha watumishi hususani hao waliosahaulika(walimu) wakiwa wanakimbia fani na waliona bora wafanye kazi za uvuvi kuliko...
Wakazi wa kahama na maeneo ya jirani wanaarifiwa kuwa jumamosi na jumapili wiki hii katibu wa uhusiano na uenezi taifa kitengo cha vijana wa nccr-mageuzi ndugu deogratius kisandu na mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa(nec) nccr-mageuzi ndugu hemed msaba kanoni watakuwa na mkutano wa hadhara...
Kwa wale waliomaliza kidato cha nne na unapenda kutimiza ndoto za kielimu na chuo cha USTAWI WA JAMII-DSM nafasi za maombi ziko wazi kwa wale wa ngazi za cheti.SIFA STAHIKI :Passed nne(D) na kuendelea,wahi haraka kwani nafasi hazitabiriki. fika chuoni hapo au ntafute kwa maelekezo zaid.
====...
Hatimaye KISANDU akutana na wanachuo wa chuo kikuu cha mt.Augustino kwa muda wa masaa mawili na kubadilishana nao mawazo mbalimbali,aidha bwana Kisandu amepokea changamoto toka kwa wanachuo wanaosomea fani ya jamih(sociology) wakiomba serikali iwaajiri mashuleni kama inavyowaajiri walimu kwani...
Hapana mi sikubaliani na suala la kuwatoa hao viongozi wa necta kwani tatizo c wenyewe bali tatizo ni serikali kuu wanaosababisha tatizo la matokeo kwa kushindwa kuwatimizia madai ya walimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.