Akili maana yake nini? What i know is that intelligence is multidimensional concept. Hakuna mwenye hati miliki na akili. Hata mungu hata hakuweka haki miliki kwa mtu yeyote.
Mwekezani siku zote ni risk averse hawezi kuwekeza sehemu ambapo hakuna utawala wa sheria mana anajua mda wowote anaweza kunyanganywa mtaji kibabe tu eti ni fisadi wakati rais hana mamlaka hayo ispokuwa mahakama na wakati wa jpm majaji walikuwa wanapigiwa simu tu kwamba funga huyu acha huyu. Ndo...
Sera ya kodi ya tanzania ni favourable sana kuliki kenya pia hakuana kikisi kazi kama zamani enzi za jpm cha kuvamia account binafsi na kupora pesa. Kuna utawala wa sheria na wawekezaji wanapend sana hilo ili kulinda migani yao. Hakuna one man show tena ambaye amiamka na mizuka yake anaamua lolote
Fanya tafiti ndogo. Tembelea ofisi za uwekezaji za kenya wakupe idadi ya wawekezaji wanaingia na wanaondoka halafu uje tanzania ufafanye the same utafiti
We una zero ya uchumi kichwani. Nani kakwambia kwamba mwekezaji anavutiwa na kuwa na strong currency? Unajua jinsi china ilivyowarua wawekezaji wakubwa kabisa duniani kama akina elon musk wakati ime devalue currency yake! Au hujua maama ya currency devaluation and and currency depreciatio.
Rudi...
Samia hafukuzi wazawa bali anawatafutia pa kuishi. Nchi zozote duniani zinafanya hivyo. Huwezi kue delea kuishi sehemu ambayo ni productive halafu huzalishi halafu serikali akakuacha na kukutazama tu. Lengo la serikali ni kukusanya kodi kwa matumizi mbali mbali ikiwemo hao wanaohamishwa...
Wapi inadidimia. Au huelewi maama ya uchumi. Sema wewe unazidi kudidimia kifedha siyo kiuchumi. Uchumi ni macro economic variable siyo individual. Sasa hivi pato langu limeongeza 3 times ukilinganish ana kipindi cha jpm ambaye alikuwa kila mtu anamuona mwizi ispokuwa makonda na sabaya tu
Mawazo ya darasa la saba haya. Hakuna msomi anayeweza kuwaza hivi. Kumbuka sera zikiwa nzuri zinamshawishi mwekezaji. Mwekezaji kumvita ni kazi. Jpm yeye alivutia machinga tu allitaka kilia mtu awe mnyonge ili amtawale vizuri
Nakupingeza sana samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya africa n africa kwa ujumla.
Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.