Recent content by CompaQ

  1. CompaQ

    Msaada wa kuweza kufanya data recover kwenye laptop

    Habarini wakuu, Naomba msaada wa Data Recover ambazo kwa Bahati Mbaya nili fomati hivyo taarifa za kwenye Folder and Files zimepotea zote. Hivyo kama kuna namna au kuna Software inaweza fanikisha au mtaalamu wa kuweza kufanikisha zoezi tafadhali msaada wake unahitajika. Nipo Dar Es salaam...
  2. CompaQ

    Kwanini Serikali isiwauzie Marekani vyura wa Kihansi badala ya kuendelea kula hasara ya kuwatunza bila tija?

    Kwa mujibu wa mikataba ya Kimataifa kwa wanyama walio kwenye hatari zaidi ya kutoweka, kisheria Chura huyu hawezi kufanyiwa biashara ya aina yeyote hapa duniani kumuuza au kumnunua!! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. CompaQ

    Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    CompaQ Ni jina la Kompyuta ya kwanza Kuiona na Kuigusa mnamo mwaka 2004. Ndio ilikuwa mara ya kwanza kuiona Kompyuta na kuigusa. Hivyo nikaona sio Issue avha iwe Nick nickname yangu.
  4. CompaQ

    Msaada: Basi gani zuri la kutoka Dar kwenda Nairobi?

    DarLux Dar -. Nairobi @65000.00 Fanya Booking online www.darlux.co.tz
  5. CompaQ

    INAUZWA SIMU MICROSOFT LUMIA 950 DUAL SIM

    hapana Hainifai Kiongozi
  6. CompaQ

    INAUZWA SIMU MICROSOFT LUMIA 950 DUAL SIM

    1. CAMERA PRIMARY: 20 MP (f/1.9, 26mm, 1/2.4", 1.12µm), Carl Zeiss optics, 2. CAMERA SECONDARY: 5 MP, f/2.4, 1080p 3. STORAGE INTERNAL: 32GB 4. RAM--3 GB 5. OS: Microsoft Windows 10 6. SIM CARD: Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by)-(Double line) 7. NETWORK TECHNOLOGY -- GSM / HSPA / LTE 8...
  7. CompaQ

    Vijana zaidi ya 3,000 warudishwa nyumbani baada ya kumaliza mafunzo ya JKT kwa kujitolea, wakosa ajira

    Uliambiwa Ukienda JKT unapewa Ajira hao wamepata Ujuzi basi wakautumikie ujuzi wao
  8. CompaQ

    Website ya bodi ya mikopo mbona siielewi

    Habari wataalam wa Teknologia katika Hali isiyotarajiwa Website ya Bodi ya Mikopo kw Wanafunzi wa Elimu ya Juu ilikuwa Hacked na wataalam wanaojiita " watu wasiojulikana Tanzania" ila naona mafundi Bodi ya Mikopo wamefanikiwa kuirudisha hewani. katika kipindi Hiki ambacho wanafunzi wa elimu ya...
  9. CompaQ

    Natafuta DELL latitude E7270 Mpya/Mtumba

    Habari, Natafuta Dell Latitude E7270 iwe ni mpya au mtumba naomba uweke specification za chombo hicho ulichonacho (Dell tajwa), bei na eneo na Mawasiliana. Mie nipo Morogoro. asante.
  10. CompaQ

    Naomba kufahamu mamlaka ya Afisa mtendaji kata na Afisa Tarafa

    KAZI NA WAJIBU WA AFISA MTENDAJI WA KATA Kutokana na Waraka Wa Maendeleo ya Utumishi wa Serikali za Mitaa namba 29 wa Mwaka 2003, pamoja na sheria iliyofanyia marekebisho Sheria za Serikali za Mitaa namba 13 ya mwaka 2006 kazi za Afisa Mtendaji wa Kata ni:_ •Kumwakilisha na kumsaidia Mkurugenzi...
  11. CompaQ

    Salary slip zawa adimu kwa wagombea CWT vijana

    mwambie huyo Mwalimu ajisajiri hapa baada ya masaa 24 ataoakua Salary slip kwa mwaka huu wa fedha. https://salaryslip.mof.go.tz/Account/Login?ReturnUrl=%2F
  12. CompaQ

    Account za michango ya ujenzi wa madarasa lakini risiti imeandika mapato ya Kijiji. Je, ni sawa?

    unashauri iandikwe vipi? Huo mchango si Mlikubaliana kwenye mkutano mkuu wa Kijiji kuwa Mchange kiwango hicho na mkaridhia kabisa kuhusu kuchangia sasa unalalamika nini?
Back
Top Bottom