Recent content by Canabian Rasta

  1. Canabian Rasta

    Kwa upande wangu siwezi KUMCHANGIA aliyefia Uturuki akifanya surgery ya urembo

    We usimchangie au umchangie maiti haina shida na mchango wako, mtu akishakufa hana kauli tena kwaiyo mliobakia ndo mtafanya maamuzi izo sio shida zake ye keshamalizana na Dunia.
  2. Canabian Rasta

    Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

    Alazwe pema peponi kamanda [emoji1992]
  3. Canabian Rasta

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Hongera sana mkuu, vipi imekuchukua muda gani kupata visa yake, maana nimeambiwa za canada zinachelewa kweli
  4. Canabian Rasta

    Natafuta Michongo nje ya nchi

    Habari WanajamiiForums, Ninahitaji wadau waliopo Dubai au China naomba kujua ajira zinazopatikana huko, deals au biashara za kufanya ukiwa uko ili kutengeneza kipato ukiwa huko huko. Pia wadau mlio Paris, Berlin, Amsterdam, London, Madrid, Instabul n.k pia ninaomba maoni yenu kuhusu kazi...
  5. Canabian Rasta

    CAG: Wastaafu na wenza wao wanaigharimu NHIF Tsh 84.7 billion kila Mwaka Bila Wao kuchangia

    Nafikiri kuna misconception kidogo kati yako na icho alichojaribu kukieleza ndugu CAG. Kwa mawazo yangu nahisi alielezea theway watu walio nje ya mfumo usio rasmi na watu walio ndani ya mfumo rasmi, policy ya bima kwa wastaafu nadhani haiko kwenye mfumo rasmi ndani ya mfuko ndo maana inaonekana...
  6. Canabian Rasta

    Unamletea kisirani anayekula, kwani wewe nani alikulazimisha ushinde na njaa tena ikiwa umekula usiku kucha?

    Zanzibar ni mrembo aliepata bwana mwenye pesa na anamkemesha vizuri af tanganyika ndo msela anayeforce kudate na mrembo ambae sio size yake ndo maana tunaishia kudhaurika kila tukikanyaga huko
  7. Canabian Rasta

    Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

    Ndoa hata sio ayo uloyataja, apo umetaja mapenzi ya mtu binafsi kwa mtu wake, ndoa ni jambo kubwa sana na muhimu kwa maisha yetu kama wanadamu kama mtu ukilielewa. Kwa zama hizi ni kheri mtu usioe na wala usiolewe, maana hakuna mwanaume wala mwanamke anayejielewa kuishi ndani ya utakatifu wa ndoa.
  8. Canabian Rasta

    P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

    Hata ivo sijawahi kusikia tajiri asiye na skendo, kiufupi habari za tajiri muulize masikini.
  9. Canabian Rasta

    Changamoto za Spa za Dar es Salaam kwa wafanyakazi

    Duh kweli mtu ukitaka kuoa omba mungu sana, tupo kwenye zama ambazo mwanaume ndo anathamin mwili wa mwanamke wake kuliko mke mwenyewe anavyojithamini, yani unawezaje kufanyiwa ivo na mtu then ukawa normal tu! Ni kutokujua haki yako, kupenda kufanyiwa, au kutothamini utu binafsi, au utoto! As...
Back
Top Bottom