Recent content by BiMkubwa

  1. BiMkubwa

    Utata wa mtoto wa Diamond, Mama Zari amaliza ubishi..

    some people bwana! Unahitaji uhakiki gani toka kwa binadamu wakati mungu alishamaliza kazi tangu yai lilipotungwa?
  2. BiMkubwa

    Utata wa mtoto wa Diamond, Mama Zari amaliza ubishi..

    unahitaji kipimo cha DNA? Anza kwanza na hii halafu tutaenda kwenye teknolojia. Je kuna lingine?
  3. BiMkubwa

    Kuna nini Hospitali ya Kairuki?

    Naona wengi wenu mnaolalamikia Kairuki ni vijana na pengine mumeanza kuitumia hivi karibuni. Mimi nilishaapa hata BURE siwezi tibiwa pale na nitoka miaka zaidi ya 20 ilihopita. Na enzi zile ni wahaya na watu wa assemblies of God ndio palikuwa mahala pao pa matibabu. Miaka ya hivi katibuni na...
  4. BiMkubwa

    Takwimu za wahitimu PhD UDSM: Prof. Kitila Mkumbo, Umeudanganya Umma wa Watanzania!

    Wahitimu wa PhD UDSM 2010/11 - 38 2011/12 - 42 2011/13 - 34 2013/14 - 57 Idadi ya wafanyakazi wanataaluma wenye Phd kati ni 519 (kwa takwimu za 2013/14).
  5. BiMkubwa

    Introducing "Dead Beat Kenya"

    Interesting! I think we need the same in Tanzania. I can only imagine whos who filling up the pages. LOL!
  6. BiMkubwa

    Wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Mwenge-Moshi wamesimamishwa Masomo kwa sababu za kiimani!

    Graduation nyingi hufanyika jumamosi, je wasabato huwa hawaendi kwenye graduation? Maana mtu umepiga msoto miaka 3-4 halafu usiende? Kama wanaenda sasa kwa nini wasifanye mtihani jumamosi? (SWALI LA KIZUSHI)
  7. BiMkubwa

    Wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Mwenge-Moshi wamesimamishwa Masomo kwa sababu za kiimani!

    hauko pekee yako hapohapo UDSM niliwahi fanya test Xmas eve na pia mwaka mpya tuliambiwa tutakuta majina ya watakaofanya mtihani tarehe mbili yamebandikwa na enzi hizo hamna cha simu ya mkononi. Basi mtu unatoka huko ulipo na kwenda kusoma jina siku ya mwaka mpya. Wengine wakaamua tu wajiandae...
  8. BiMkubwa

    Jamani, mtoto anatuchonganisha familia nzima!

    pole sana ndugu yangu. Asiyekupa support katika hili atakuwa mtu wa ajabu au naye ana tabia kama za huyu mtoto. Binafsi nimelea wengi tena wenye tabia chafu kuliko huyo wa kwako. Haya mambo bwana yanahitaji busara sana. Huyo dadaako ni rahisi kukulaumu kwa kuwa kalishwa maneno na mtoto huyo...
  9. BiMkubwa

    Mama yangu kapata stroke mke hataki kumhudumia

    Kabla hatujarukia kumsema mkeo kuna mengi hujaweka bayana: 1. Je mkeo ni mfanyakazi au mama wa nyumbani? 2. Kama ni mfanyakazi, je ana dhamana ofisini kwake? 3. Mnaishi nyumba ya kupanga au ya kwenu? 4. Je mna nafasi? 5. Je mna uhusiano imara na mkeo? Maana usitegemee ubabe wako, ubahili...
  10. BiMkubwa

    niokoleeni ndoa yangu waungwana

    Je umepimwa wewe? Maana usiseme hana tatizo inaeezekana sperm count yako iko chini sana. IVF ni njia nzuri. Ila na yeye aache kujipa stress mambo haya hayahitaji stress.
  11. BiMkubwa

    Wewe mwana JF una taaluma gani?

    Degree ya kwanza - UDSM Degree ya Masters - UDSM Phd - University of Florida at Gainesville JF tulianza kunako zamani baada ya forum yetu ya wanaAtlanta kukosa support na website kufungwa. Tukahamia JF.
  12. BiMkubwa

    Namtafuta Upendo Mbogo

    Yuko Atlanta USA
  13. BiMkubwa

    Namtafuta Upendo Mbogo

    Bbbbbbbb
  14. BiMkubwa

    Elimu inapogeuka adui mkubwa wa ndoa...nini kifanyike?

    Narrow perspective. Period!
Back
Top Bottom