Wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Mwenge-Moshi wamesimamishwa Masomo kwa sababu za kiimani!

Status
Not open for further replies.
Mkuu nimekupigia like..tupo wachache sana wenye uwezo wa kuziangalia hizi dini, hasa hizi DiniKoloni, kwa mapana haya. waamini wengi wa dini wamefungiwa ndani ya box la dini na hawawezi kutoka humo na kufikiria nje ya box. akiambiwa bikira maria alizaa bila kupigwa "kitu na box" eti wanaamini hivo hivo! "jilipue" wanaamini hivo hivo, "paa bila mabawa" wanaamini hivo hivo. na kama kawaida katika hili sisi miafirika ndo tunang"ang"ania kijuha zaidi kuliko hata wadhungu na waarabu wenye dini zao.,,

pathetic useless brainwashed lots.

endeleeni kupiga kelele ila ndio washafukuzwa mkiona wamenyanyaswa andamaneni basi mchezee viboko FFU wanawashwa mikono.
 
UDSM niliwahi piga paper boxing day

hauko pekee yako hapohapo UDSM niliwahi fanya test Xmas eve na pia mwaka mpya tuliambiwa tutakuta majina ya watakaofanya mtihani tarehe mbili yamebandikwa na enzi hizo hamna cha simu ya mkononi. Basi mtu unatoka huko ulipo na kwenda kusoma jina siku ya mwaka mpya. Wengine wakaamua tu wajiandae waje kesho yake hata kama jina lipo au halipo. Chezea shule! Enzi hizo hatukuwa na mambo ya wasabato sema siku hizi idadi ya wanafunzi ni kubwa mno kiasi kwamba inalazimu wafanye mtihani siku ya sabato.
 
hii ishu imekuwa ikienda na kujirudia

kama hellen G white alivosema ni vizuri
kupeleka watoto shule za kisabato hta vyuo pia

mana hata muislam akija soma kwenye shule za kisabato kama mukidoma

anafata sheria zote za kisabato ikiwemo kusali na kutofanya kazi siku ya sabato

same applies kwa vyuo vya wakatoliki
Je huyo Muislam anayesoma mukidoma huwa haruhusiwi kufanya ibada siku ya ijumaa? Ama wanaofanya ibada siku ya jumapili?
 
Yani wewe ndio huna hoja kabisa! Kazi matusi! Naelewa ukweli umeupata ndio Maana umekalia matusi!

dinikoloni zinawapofusha waafrika ili tusiamke tuendane na kasi ya dunia. wakati watoto wa kahaba Helllen G White wapo havard na london school wakiyasaka maarifa kwa udi na uvumba sisi wandengereko huku madongo kuinama tunawaaminisha watoto wetu wasifanye mitihani siku ya jumamosi. halafu siku watoto wa kina hellen hao hao wakija kuwalazimisha watoto (tena wa kiume) wa kindenegereko wafir.ne kama sharti la kupewa misaada ya ARV'S utaskia sisi sisi wandengereko tunalialia kama majuha tu. kwa stahili hii kuna siku kina Ntunzu watoto wenu(tena wa kiume) watafir.wa tu na wotot wa kina Hellen G White ambao wako havard wakikung'uta mitihani kuanzia jumatatu hadi jumatatu. mpende msipende. wajinga ndo waliwao
 
hawa wasabato huwa ni wanafiki. kuna siku moja tulikuwa kwenye semina fulani. kulikuwa na wasabato, siku ya jumamosi hawakuja semina. ila walivyosikia kuna ela za posho, wakaja mbio mbio. wakakaa wakasikiliza semina baadae wakatoka wakachukua posho siku ya SABATO. walipozipata hao wakaondoka.

ha ha ha ha! chezeaa pesa wewe lazima sabato utupe pembeni
 
Hata kama waislamu wanafanya ibada ijumaa lakini si haki kabisa kuingilia imani ya mtu mwingine. Kifupi hawajawafanyia haki na huo ni ubaguzi usiokubaliki. Ni ishara njema kwa vijana wasiowakatoriki pamoja na waislamu wote kutoomba kujiunga na vyuo vya kikatoriki.

Halafu Elimu bora mtaipata wapi?kule Muslim University Morogoro na Zanzibar University?na kwanini mnaenda kurundikana kwenye vyuo vya Wakatoliki na wakati mna Vyuo vyenu hasa kile Muslim University Morogoro. Ficha upumbavu wako wewe,mbona sisi tulipokuwa Chuo tulikuwa tunafanya Mitihani,Lecture,Presentation ya Research na Test mpaka Jumapili tena asubuhi saa 1 mbona hatujawahi kulalamika tena kwenye vyuo vya Serikali.
 
hauko pekee yako hapohapo UDSM niliwahi fanya test Xmas eve na pia mwaka mpya tuliambiwa tutakuta majina ya watakaofanya mtihani tarehe mbili yamebandikwa na enzi hizo hamna cha simu ya mkononi. Basi mtu unatoka huko ulipo na kwenda kusoma jina siku ya mwaka mpya. Wengine wakaamua tu wajiandae waje kesho yake hata kama jina lipo au halipo. Chezea shule! Enzi hizo hatukuwa na mambo ya wasabato sema siku hizi idadi ya wanafunzi ni kubwa mno kiasi kwamba inalazimu wafanye mtihani siku ya sabato.


Kweli kabisa inabidi madogo wapunguze misimamo ya dini, maana bible ukiisoma vizuri inasema mshike saana elimu msimwache aende zake, tena hiyo hiyo bible inasema ng'ombe wako akidumbukia kwenye kisima utamwacha afe eti kisa sabato?

Inabidi madogo walegeze misimamo yao.


Sent from my SM-N9005 using Tapatalk
 
Unafahamu unabii Wa Kanisa kukimbilia nyikani? Nyie ndio mliotesa watu Wa Mungu mpk Kanisa likakimbia kujipanga upya! Sabato ilikuwepo tangu Eden!

Ok ni nani aliepotea, wewe unasali kupitia Bikra maria mtu aliekufa na Yuko kabulini Au Mimi? Ibada yenu ni mfu! Huwezi Sema Maria akuombee Kwa Mungu wakati yeye mwenyewe Yuko kaburini amekufa!

dinikoloni zote ni upotevu, mnazidiana kwa uafadhali tu ambapo waroma wanaongoza kwenye huo uafadhali. halafu mjue dini si sabato na romani tu. kuna dini 4000 plus dunian, kila moja ina imani na taratibu zake na kila moja inajiona ndo yenyewe na nyingine zote ni ubatili.
 
this is not fair kabisaa kwa nini wanawanyima haki yao ya kikatibaaa????

tukisoma kwenye shule zenu za kisabato tunafwata sheria zenu kwenye kusali na kila kitu na nyie mkisoma kwenye vyuo vyetu vya kikatoliki lazima mfwate sheria zetu.Mgeni huwezi ukanipangia ratiba kwenye nyumba yangu walikuwa sahihi kuwatimua.
 
Ni kutokana na upendo wao ndio utawajua wafuasi wangu. Amri ya "kumpenda jirani yako kama nafsi yako" hairuhusu Wakristu kuijibizana kwa husda kama ilivyo kwenye uzi huu.

Ni tumaini langu kwamba MUCE itapata namna ya kuwasaidia hao waliosimamishwa ili waendelee na masomo yao.

Vile vile, kama ikibidi kufanya testi siku ya Jumamosi, ni vema wanafunzi wa Kisabato wakafahamu bado watasali siku hiyo. Testi inachukua muda kidogo tu. Leo tumesoma Injili ya Yesu kumponya mtu aliyezaliwa kipofu. Alimponya siku ya Sabato.

Upendo huvumilia. Lazima kuwajibu watu wote kwa upendo, hata kama hukubaliani nao. Ni kosa kuwa na chuki na imani za watu wengine. Hiyo ni amri toka juu.
 
YULE JOKA AKAMKASIRIKIA............. WOTE WANAOUNGA MKONO HII HATUA ILIYOCHUKULIWA NA CHUO DHIDI YA HAO WASABATO NI MAWAKALA WA SHETAN. hamjui tu mnalotolea macho na kutoa mapovu midomoni lini litakuwa chungu siku ile mkitamani siku hii irudishwe nyuma muweze kuwa upande wa Mungu maana mnamfurahisha yule JOKA kwa kushiriki kuwa upande wake. Kama huwajui WAADVENTISTA WASABATO kaa kimya usiwachanganye na SABATO MASALIA, mmetoa ndimi zenu kupambana na Mungu kupitia ujumbe walioutoa hao vijana, INJILI ni popote, chuoni, kazini, njiani, viwanjani, nenda nendeni mkawaonyeshe watu ujinga wao wa kuzikanyaga Amri za Mungu........ Kwani Wale akina DANIEL, SHEDRAK, MESHAK NA ABIDNEGO walipokataa kuisujudia sanamu ya Mfalme wa BABELI hawakujua kuwa wapo utumwani, uhamishoni? Nyinyi ni mawakala wa SHETANI maandiko yanaeleza wazi kuwa shetani hatakuja kwa sura yake halisi bali ni kwa sura ya watu kama nyinyi mnaopigana na imani thabiti za washika SABATO TAKATIFU. Mungu anataka akute kanisa mbalo ni bikira safi halijachafuliwa. " BASI IMESALIA RAHA YA SABATO KWA WATU WA MUNGU .. WAEBRANIA 4:9" waache WASABATO ndio waliobaki kujua siri ya RAHA ya kuishikilia imani. USITUMIE MISULI YAKO KUPIGANA NA MUNGU KUWA MAKINI

Acha vitisho Kijana,cha kufanya ni kuwashauri hao Masalia wenzako wachague kati ya kusali na Masomo.
 
dinikoloni zote ni upotevu, mnazidiana kwa uafadhali tu ambapo waroma wanaongoza kwenye huo uafadhali. halafu mjue dini si sabato na romani tu. kuna dini 4000 plus dunian, kila moja ina imani na taratibu zake na kila moja inajiona ndo yenyewe na nyingine zote ni ubatili.

Yesu aliwahi kuishi Africa! Sasa km hujui ni bora ungekua unakaa kimya tu!
 
Yani wewe ndio huna hoja kabisa! Kazi matusi! Naelewa ukweli umeupata ndio Maana umekalia matusi!

haya, wee endelea kuwafundisha watoto wako wasisome jumamosi,sku si nyingi utarudi hapa kutuambia.

halafu si ajabu washika DiniKoloni na unafki wenu uliotopea utakuta wewe Ntuzu wanao unawahimiza wagonge pepa hadi satadei, lakini ukija huku JF unahubiri upuuzi kwa wana-mafukara-wasabato wenzio kwamba wasifanye pepa satadei ili wabakie mbumbumbu, watoto wako waje wawatawale na kupokea sadaka zao hao mafukara. wanafki wakubwa nyie Ntuzu.

ngoja miye nimsubiri mwanangu anatoka chachi sasa hivi tuje tupitie homework yake kesho asubuhi awahi hapo st francis akoge kitabu. ila kabla hajala mchana nitahakikisha keshalisha ngombe wangu majani na wameshiba.....Sala, Kazi na Elimu...katika DiniKoloni zote, ikiwemo DiniKolonSabato, nawa-appreciate sana DiniKoloniRoman
 
Wakitaka uhuru wakasome kwenye vyuo vyao.Wakatoliki wamekua msaada mkubwa sana kwa elimu ya tz.hawapaswi kulaumiwa
 
Acha vitisho Kijana,cha kufanya ni kuwashauri hao Masalia wenzako wachague kati ya kusali na Masomo.


Unaambiwa ukweli unasema vitisho? Tatizo hamjui kweli! Ukiijua kweli itakuweka Huru na kuachana na mambo ya shetani!
 
Yesu aliwahi kuishi Africa! Sasa km hujui ni bora ungekua unakaa kimya tu!
kwa hiyo yesu akiishi afrika ndo nini?! kha, we mbumbumbu kweli. kwa hiyo kama yesu aliishi afrika ndo inahalalisha upuuz wako wa kuwaambia watoto wa wenzio wasitafute maarifa sku ya jumamos au?

what point do you wanted to make here you brainwashed idiot?!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom