Uber itaanza kuweka matangazo katika app zake mbili, app ya Uber ambayo inatumika kuita usafiri (gari, bajaji, pikipiki n.k) na katika app ya Uber Eats. Watumiaji wa app hizi wataona matangazo wakati wa kutafuta usafiri, kusubiri usafiri kufika na wakati wa safari.
Matangazo (Ads) yatakuwa ni...
Habari wapenzi wasomaji! Leo nataka kuongea nanyi kuhusu mgomo unaoendelea kwenye Reddit na API yake.
Kama mnajua, Reddit ni moja ya mitandao maarufu zaidi ya kijamii ambapo watu wanaweza kushiriki maoni, habari, picha na video za kuvutia. Lakini hivi karibuni imeingia katika ugomvi mkubwa na...
WhatsApp ina watumiaji wengi sana kuliko hata Telegram na Instagram. Na watumiaji wa WhatsApp wanafungua app hii kila siku.
Telegram itapata wakati mgumu sana baada ya mabadiliko haya kwa sababu WhatsApp itashika soko lake kubwa na kutumia power yake ya Instagram na FB.
Katika mabadiliko...
Namna ambavyo watumiaji wa WhatsApp wanaitumi app ya WhatsApp; itabadilika na soon WhatsApp itakuwa ni mtandao wa tofauti zaidi. Itakuwa ni sehemu ambayo sio lazima ukimaliza kuchat na rafiki yako kwenye WhatsApp, unafunga app ya WhatsApp na kufungua app ya Instagram ili kufahamu habari...
App ya Instagram inaweka sehemu mpya ambayo itawezesha watumiaji kurekebisha ujumbe wa DM.
Kwa sasa Instagram haina sehemu ya kurekebisha (edit) ujumbe katika sehemu ya DM. Endapo kama ukituma ujumbe, utaona hakuna sehemu ya ku-edit, sehemu ambayo ipo ni "unsend" ambayo inafuta ujumbe ambao...
Signal ndio ilikuwa app ya kwanza kusema kuwa ipo tayari kufuta upatikanaji wake kwa watumiaji wa Nchi za Ulaya kuliko kukubali utaratibu mpya ya kudhoofisha usalama wa encryption. Ilionyesha msimamo mkubwa na wengi waliisifia kwa kitendo cha kuwa na msimamo.
Wiki iliyopita Head of WhatsApp...
Teknolojia inazidi kukimbia na kila siku teknolojia mpya inatokea na kubadilika.
Wiki hii katika kongamano la Mobile World Congress (MWC) 2023; teknolojia mpya ya iSIM ilitambulishwa rasmi na kuonyesha ni teknolojia ambayo itakwenda kufuata baada ya eSIM. Ni teknolojia mpya ambayo itakwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.