Recent content by Abdul S Naumanga

  1. Abdul S Naumanga

    SoC04 TANZANIA MPYA: Taifa Lenye Raia Wanaojiamini Wenye Kuleta Maendeleo

    Uonevu umezidi sana Tz, #Tanzania Tuitakayo ni ambayo raia wake wanajiamini na hii itapunguza huu uonevu uliopo. Em angali apa chini 👇. https://youtu.be/7b_H3_nDk9E?si=ScaHIk1jhdIuVxqO
  2. Abdul S Naumanga

    Tofauti kati ya kesi za jinai na madai

    Hii ni jinai ndugu, na kama ni mtumishi wa serikali apo anaweza kuwa na kosa zaidi ya moja. Inaweza kuwa wizi kinyume na kifungu namba 270 cha Kanuni za Adhabu (penal code) na atawajibika kwa kifungo cha miaka kumi na nne jela pale akutwapo na hatia Lakini pia inaweza kuwa kosa la matumizi...
  3. Abdul S Naumanga

    Tofauti kati ya kesi za jinai na madai

    Anayedaiwa kulala na kula Serena kisha kutokomea aachiliwa huru Habari wana jamvi, awali ya yote nimesikitishwa sana na habari tajwa hapo juu👆 kwani nimejiuliza, je kama menager wa hoteli kubwa kama serena na team yake wameshindwa kung'amua tofauti iliyopo kati ya kesi za jinai na madai, sasa...
  4. Abdul S Naumanga

    Msaada: Unatakiwa kufanya nini baada ya kumfikisha polisi mtu aliyekufanyia vurugu na kukujeruhi?

    Ni wazi kesi hii ni Jinai/Criminal na ndomaana ipo polisi. Ni kinyume na Vifungu namba 89(1)(b) na 228 vya kanuni ya adhabu (Penal code).👇
  5. Abdul S Naumanga

    SoC04 TANZANIA MPYA: Taifa Lenye Raia Wanaojiamini Wenye Kuleta Maendeleo

    Shukran sana🙏 Hii ndiyo #TanzaniaTuitakayo💡
  6. Abdul S Naumanga

    SoC04 TANZANIA MPYA: Taifa Lenye Raia Wanaojiamini Wenye Kuleta Maendeleo

    Sure, wanafunzi ni karibu 80% ya future yetu, masomo yenye moduli za sheri zitasaidia kuongeza uelewa wa sheria na kufanya 80% ya our future Tz kufahamu haki na wajibu wao.
  7. Abdul S Naumanga

    Kukazia hukumu

    Unayosema ni kweli, na ndio maana ni muhimu kushauriana na mtaalamu wa sheria kabla ya kufanya maamuzi ya kisheria. Jukwaa kama hili linaweza kuwa zuri sana kwani linatoa fursa ya mtu kuweka concern yake na kusaidiwa na wataalamu wa maswala ya sheria bure kabisa.
  8. Abdul S Naumanga

    Kukazia hukumu

    Umee Umeeleza vyema ndugu,swali langu kwako. Je,uliomba gharama za uendeshaji kesi kwanzia mwanzo? Ndugu, kisheria hizi zote zinaitwa gharama za kesi. Mara nyingine ni vizuri ku consult na mtaalamu wa sheria kabla hujafanya maamuzi ya kisheria, hii itakusaidia sana.
  9. Abdul S Naumanga

    Kukazia hukumu

    Mkuu mimi nitakujibu kwa kadiri ninavyoelewa. Ni ivi, kesi inapokuwa katika stage ya kukazia hukumu mwenye jukumu wa gharama izo ni mdaiwa lakini hulipwi wewe badala yake ni dalali wa mahakama (court broker) kwasababu kwenye kukazia hukumu ni yeye ndo anatakiwa kushughulikia kila kitu na si...
  10. Abdul S Naumanga

    SoC04 TANZANIA MPYA: Taifa Lenye Raia Wanaojiamini Wenye Kuleta Maendeleo

    Unipigie kura tukishinda tunaiweka adi kwenye billboard 😂
Back
Top Bottom